Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Mashabiki wa roman reigns mbona kimya?mmeona kipigo cha kufa MTU alichopewa na Brock lesnar?last week mlisema alifungwa pingu,safari hakua na pingu na kapigwa kuliko Mara ya kwanza.roman reigns hawezi mpiga the beast Brock lesnar size yake ni kina aj styles na nakamura.nilifurahi sana Brock lesnar alipompiga pigo pendwa la f5 tena kwenye gazi za kupandia kuingia ulingoni.asante mno mnyama Brock hapa nafanya mawasiliano na uongozi wa wwe unipatie namba za Brock na Paul heyman na huu umaskini wangu ntajichanga ata bukutano niwatumie Mpesa kusema asante kwa kipigo alichopigwa Roman hasa f5 kwenye ngazi,suplex na viti vya kutosha
Hata the beast alikuwa anapigwa hvyhvy na braun strow but kweny match rasmi the beast akashinda.
 
Mashabiki wa roman reigns mbona kimya?mmeona kipigo cha kufa MTU alichopewa na Brock lesnar?last week mlisema alifungwa pingu,safari hakua na pingu na kapigwa kuliko Mara ya kwanza.roman reigns hawezi mpiga the beast Brock lesnar size yake ni kina aj styles na nakamura.nilifurahi sana Brock lesnar alipompiga pigo pendwa la f5 tena kwenye gazi za kupandia kuingia ulingoni.asante mno mnyama Brock hapa nafanya mawasiliano na uongozi wa wwe unipatie namba za Brock na Paul heyman na huu umaskini wangu ntajichanga ata bukutano niwatumie Mpesa kusema asante kwa kipigo alichopigwa Roman hasa f5 kwenye ngazi,suplex na viti vya kutosha
Naunga mkono hoja
 
Paul hyeman uyu mzee ana maneno na mawenge
 
Sasa mkuu ina maana hakuna wa kumnyang'anya Lesnar ule mkanda??....kwa sababu hata Strowman hana uwezo wa kuhimili suplex mbili!!
Big dog atashinda. Sababu Lesnar anarudi UFC this year ndo maana wakaitengeneza hii mechi. Tena roman kipenzi cha Bosi mkuu wa WWE so Roman atashinda 98% labda kama lesnar bado hajasign mkataba wa kuanza UFC maana ndoo anapopaenda 100%
 
Zile finishing zilivyo za kikatili kama vile Sister Abigail au ile ya Finn Balor au ile ya Baron Corbin au ile ya the viper mtu anawezaje kusema kuwa yale ni maigizo??!
Mapigano ni ya ukweli ambao wameshayafanyia mazoezi kabla. But matokeo ni ya Kupangwa
 
Big dog atashinda. Sababu Lesnar anarudi UFC this year ndo maana wakaitengeneza hii mechi. Tena roman kipenzi cha Bosi mkuu wa WWE so Roman atashinda 98% labda kama lesnar bado hajasign mkataba wa kuanza UFC maana ndoo anapopaenda 100%
Hivi mkuu huko UFC suplex zinaruhusiwa?[emoji53][emoji53]
 
Kule wanapasuana vibaya jaribu kuangalia but **** vidume kule huyo lesnar mwenyewe anakaa!! Ila hairuhusiwi kule sijawahi ona mtu akipiga hiyo kitu. Kule ni ngumi mateke vipepsi etc. Alienda CM Punk alipigwa mpk akili ikamkaa sawa.
Lesnar anasema WWE hakuna ushindani sababu matokeo yamepangwa anapenda ufc 100%
 
Wreslemani
Asuka vs the qeen
Bonge wangu vs alexa
Roman vs lesnar
Cena vs undertaker
The bar vs stroman
Ronda/angel vs bibi na bwana
Daniel/mapesa vs owen/shogaake
Rusev vs orton vs maharaja vs glorius
Balor vs seth vs mitz
Aj vs nakamura
THE WINNER ARE
ASUKA......ataanzishiwa ugomvi na Rando rawzey
NAKAMURA.....
THE UNDERTAKER ....sina uhakika sana maana jamaa ni mzee now kuliko cena sema sababu ni mechi za kupangwa ...
ANGEL NA ROWSEY
FIN BALOR
ROMAN REIGNS
ALEXA ingawa napenda Bonge wangu ashinde sema yule shosti anamsaidia mwenzake kushinda
THE BAR....
MARAHAJA...
OWEN NA SAMI ZAYN..
 
But mkumbuke kile kimbaumbau kina brifcase lake anytime kana cash in
So kati ya Asuka au Alexa **** mmoja brifcase itafanya kazi. Nadhani ni alexa maana hatanilitokea kashinda basi atakuwa nyaka nyaka so itakuwa rahisi kwa kimbaumbau kukash in mkoba wake na kuwa bingwa
 
Wreslemani
Asuka vs the qeen
Bonge wangu vs alexa
Roman vs lesnar
Cena vs undertaker
The bar vs stroman
Ronda/angel vs bibi na bwana
Daniel/mapesa vs owen/shogaake
Rusev vs orton vs maharaja vs glorius
Balor vs seth vs mitz
Aj vs nakamura
THE WINNER ARE
ASUKA......ataanzishiwa ugomvi na Rando rawzey
NAKAMURA.....
THE UNDERTAKER ....sina uhakika sana maana jamaa ni mzee now kuliko cena sema sababu ni mechi za kupangwa ...
ANGEL NA ROWSEY
FIN BALOR
ROMAN REIGNS
ALEXA ingawa napenda Bonge wangu ashinde sema yule shosti anamsaidia mwenzake kushinda
THE BAR....
MARAHAJA...
OWEN NA SAMI ZAYN..
08April hiyo...... Si ya kukosa
 
Brock na Paul heyman leo wameaga mashabiki na pambano la mwisho ni hilo na roman.Brock anarudi ufc.hawez kwenda na mkanda wao wa wwe.hivyo lazima atapigwa.pia leo Monday night raw kama kawaida roman kachezea F5 asante brock
 
Amesema mpaka apigwe na Roman ndo atasepa WWE
 
Back
Top Bottom