mangenge2679
Senior Member
- Jan 30, 2018
- 188
- 107
Team reign hapa dawa ya leisner inachemka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mtu kupigwa huku amefungwa pingu[emoji134] ndo unashangilia! HhahahaMonday night raw ya wiki hii ilikua tamu sana hasa mnyama mwenyewe the beast alivyotoa kichapo cha kufa MTU kwa dogo roman reigns.Brock lesnar namkubali sana hanaga cha kuremba na haitaji akoforce umshabikie ila kichapo anachotoa ww mwenyewe utamkubali.roman alichezea viti kama 70,suplex city kama 50 na pigo ninalolipenda la F5.wakati roman anapigwa F5 kabla hajatua chini niliamka kwa shange nikisema pumbavu(panya unachezea sharubu za paka)namshukuru sana Brock kutoa kichapo kile.najua mashabiki wake watasema sijui alifungwa pingu ila ujumbe umefika na roman aliondoka kwa machela.nasubiri tambo na mkwara mzito atakaoupiga Paul lazima homa impande roman hospitali
Hahhaha...Kufungwa macho! HahahHuyo reigns apigwe tu... Hata angekuwa kafungwa macho, maana ana sifa sana
Hao uliowataja wote nawakubali isipokuwa hilo moja tu linalojiita big dog [emoji240] [emoji240] Kumbe ni big mouse [emoji232] [emoji232]Hahhaha...Kufungwa macho! Hahah
Mimi am always a fun of those who play fair.
Mtu akianza kuCheat cheat na janja janja[emoji134] namDISS..
Thats why Namshabikia NAKAMURA, ASUKA, ROMAN REIGN, SASHA BANKS. UNDERTAKER, JOHN CENA.
Hahahahahahahhah, Dadeki[emoji23]Hao uliowataja wote nawakubali isipokuwa hilo moja tu linalojiita big dog [emoji240] [emoji240] Kumbe ni big mouse [emoji232] [emoji232]
Wote wanaomshabikia Roman reigns hawajui WrestlingTakwimu zinasemaje?Brock lesnar kampiga roman reigns Mara ngapi?kama ni ngumu kugugo je Roman reigns kampiga Brock lesnar Mara ngapi?tuache ushabiki wwe hamna wa kumpiga Brock na ukipata nafasi cheki YouTube randy na big show kidogo Brock awaue.Brock ashampiga roman wrestemamia,raw,akiwa na braunstorman na samjoe,Brock sio saiz ya dogo Roman. Brock is a killing machine
Bado naamini strowman ana uwezo wa kumpiga the beast.Takwimu zinasemaje?Brock lesnar kampiga roman reigns Mara ngapi?kama ni ngumu kugugo je Roman reigns kampiga Brock lesnar Mara ngapi?tuache ushabiki wwe hamna wa kumpiga Brock na ukipata nafasi cheki YouTube randy na big show kidogo Brock awaue.Brock ashampiga roman wrestemamia,raw,akiwa na braunstorman na samjoe,Brock sio saiz ya dogo Roman. Brock is a killing machine
Mbona "The Best" alipigwa na "Goldberg"" ndani ya Dakika 3Takwimu zinasemaje?Brock lesnar kampiga roman reigns Mara ngapi?kama ni ngumu kugugo je Roman reigns kampiga Brock lesnar Mara ngapi?tuache ushabiki wwe hamna wa kumpiga Brock na ukipata nafasi cheki YouTube randy na big show kidogo Brock awaue.Brock ashampiga roman wrestemamia,raw,akiwa na braunstorman na samjoe,Brock sio saiz ya dogo Roman. Brock is a killing machine
Nakubaliana na wewe kabisa. Strowmen akigangamala, akijiamini, na ikiwa Fair play..anampiga bila shaka yoyoteBado naamini strowman ana uwezo wa kumpiga the beast.
Umechanganya file mkuu omaga alikufa na alikua mzungu labda kama una mzungumzia Mark HenryKuna Black linaitwaga Umaga, hatari sana hili likiumbe
Haupendi Super man panch yaani umerogwa.Ila mi Roman Reigns simkubali kabisa..... Ile staili yake ya finishing na ngumi wala haina mvuto
Style bomba ni ile ambayo ukimpiga mtu hachomoi.... Sasa style ya jamaa hadi Miz kaichomoa.... Kuna mtu HapoHaupendi Super man panch yaani umerogwa.
Huo siyo uonevu,inaitwa coward![emoji53][emoji53][emoji53]Uo ni uonevu, utamfungaje mtu mikono
[emoji23][emoji23][emoji23]Anamzidi mpambe wa lesnar...my name is pol haimnnn.
Futa Hii kauli Chief, unatukosea sana fans wa Roman all over the worldWote wanaomshabikia Roman reigns hawajui Wrestling
[emoji106]Futa Hii kauli Chief, unatukosea sana fans wa Roman all over the world