Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Sio kujua. Ila kutokana na trend za matukio ndio hata wewe unaweza kuotea nini kitatokea.
AJ atapigwa na Nakamura sababu kubwa ni kibiashara zaidi kama ambavyo walimpa mkanda MARAHAJA WAKIHINDO yule sababu wana fan base kubwa sana na india ina watu wengi na walivyomaliza safari za india wakampokonya mkanda. So now ni time ya Japan nako kuna watu wengi so interm of business itakuwa juu sana.
So.posibbility ya Asuka na Nakamura kushinda ni 95% kwa sababu niliyoainisha hapo juu.
Kwa lesnar na Big dog...sababu kubwa ambayo itamfanya lesnar ashindwe ni yeye kurudi UFC na kuwa Big Dog ni kipenzi mkubwa wa McMan mmiliki wa WWE.....so big dog ni 95% pia.
ALEXA ....ni 96% kushinda sababu yeye ana kipaji cha kuongea ( hii nayo ni sifa kubwa kuwepo wwe kama alivyokuwa ENZO) but kuna posibility ya kimodo kucash in kibrifcase kwa asuka vs qeen au kwa alexa vs nia jax maana wengi wana cash in kwa wreslemania)
Nimekupata mkuu ngoja tuone leo but sijui n kwann asuka alienda smack down ... angebak Monday night Raw...
 
Sio kujua. Ila kutokana na trend za matukio ndio hata wewe unaweza kuotea nini kitatokea.
AJ atapigwa na Nakamura sababu kubwa ni kibiashara zaidi kama ambavyo walimpa mkanda MARAHAJA WAKIHINDO yule sababu wana fan base kubwa sana na india ina watu wengi na walivyomaliza safari za india wakampokonya mkanda. So now ni time ya Japan nako kuna watu wengi so interm of business itakuwa juu sana.
So.posibbility ya Asuka na Nakamura kushinda ni 95% kwa sababu niliyoainisha hapo juu.
Kwa lesnar na Big dog...sababu kubwa ambayo itamfanya lesnar ashindwe ni yeye kurudi UFC na kuwa Big Dog ni kipenzi mkubwa wa McMan mmiliki wa WWE.....so big dog ni 95% pia.
ALEXA ....ni 96% kushinda sababu yeye ana kipaji cha kuongea ( hii nayo ni sifa kubwa kuwepo wwe kama alivyokuwa ENZO) but kuna posibility ya kimodo kucash in kibrifcase kwa asuka vs qeen au kwa alexa vs nia jax maana wengi wana cash in kwa wreslemania)
Well said..... Let's see
 
Fin Ballor namkubali Sana..... Ila Nakamura namkubali zaid, AJ Style namkubali kichizi..... Yaan Leo nipo delema, sijui kati ya AJ Style na Nakamura niwe upande wa nani..
Nampenda Nakamuraaa najua lazima amchape Aj na ile style yake ya kupigiza miguuuu
 
Mi nipo Tayari mzigo nnao...... Je tunaweka vipi mkuu
Mkuu utanirushia fifty yangu kwa tigo pesa,majarida makubwa duniani yameanza kumtabiria Roman reign ushindi mkubwa!![emoji116]
IMG_20180408_143848_837.JPG
 
Aiseeee napenda sana mieleka sema muda nakosa wa kuangalia ila mm nampenda Finn Balor balaaaa

Kuna lile group la Black Amerika sijui wanaitwaje nampenda yule Bonge kuacha Aj style wenyewe siwapendi .
New Days?
 
Roman Reign The big Doggy atamkalisha yule bwege mwenye style 1 tu
 
Mkuu utanirushia fifty yangu kwa tigo pesa,majarida makubwa duniani yameanza kumtabiria Roman reign ushindi mkubwa!![emoji116]View attachment 738162
Uwe mwaminifu mkuu, unirushie 50 yangu, mi siangalii majarida maana hayo hayo yalimtabiria Cena kushinda Royal rumble Ila ikawa tofauti..... Yakamtabiria Stromen kushinda Elimination chamber ikawa zero...
 
Wadau wreslemenia Lini?nasubiri sana pambano la Brock lesnar the beast na Roman reigns.namkubali sana Brock lesnar kuliko maelezo ila naona roman anafanyiwa figusi za kuchukua mkanda
Hii gemu sio ya kitoto! Sijui kama Roman Empire atatoboa, ila yote yawezekana.
 
By the way hebu tujadili tukio alilofanya Shane McMahon kwenye Fastlane, Je alifanya halali?

Kelvin Owens alipania kumpiga teke samy zayne ambaye alikwepa na hilo teke kumpata Shane McMahon. Jamaa alikasikrika sana ikapelekea alamvuta nje Kelvin baada ya kufanya cover kwa Ziegler, pi Samy alipofanya cover kwa kelvin jamaa akamvuta referee nje. Halafu AJ akaingia akampiga kelvin na kushinda mkanda.

Hili tukio kweli McMahon alipaswa kufanya hivi?

Jumanne Samy na Kelvin walimpiga McMahon kwenye locker room hadi akalia kama mtoto
Hivi vijamaa ni vikorofi sana, Mzee wa yes yes kawaambia watapamba, yeye akiwa na Shane McMahon na wao, Kelvin na Samy wakishinda watakuwa reinstated other wise Watafukuzwa SmackDown. Sijui ni njia ya kuvutia mashabiki au lah! ngoja tusubiri tuone!
 
Back
Top Bottom