Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Kevin owen na samy watashinda...sababu bado wanafurahisha na kuchangamsha wwe....
Wanamfurahisha nani sasa wale!

Sam zayn alikuw fresh na pia KO alikuwa pouwa.

Ila kuanza ujanja janja, mi nimewaDiss wote
 
WRESTLEMANIA ......WRESTLEMANIA..... Hapa ni macho macho paka monie
IMG_20180409_001122.jpg
IMG_20180409_001119.jpg
IMG_20180409_001134.jpg
 
Back
Top Bottom