kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Hao ni wanaume waoga,ndo wako hivyo!Wewe inaelekea ni mpinzani wa huu mchezo.
Na uutakii mema
afu jamaa wanatoa dozi ya maana [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hawa wazee akina Daniel wamefanyiwa ambush!
Zmebak match ngp?Mapigo ya Daniel ni kama ya kijana mwenye miaka 25!!
kazee bado kapo gudMapigo ya Daniel ni kama ya kijana mwenye miaka 25!!
Amewaondoa Sami zayn na KO kwenye smackdown nina rahaa hadi usingizi wote umekata!!!kazee bado kapo gud
Bila bila arifu.Pambano la kina roman vipi jamani?
Nakamura vs AJ style,roman reign vs Lesner,the monster among men vs the bar!Zmebak match ngp?
Hii mechi nimeiacha imeniuma lakini ntafanyaje ...Roman chali