Geniustin
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 4,371
- 2,834
HahhahaAsa siku Zote analialia nn anamtaka undertaker Kumbe hata hamwezi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahhahaAsa siku Zote analialia nn anamtaka undertaker Kumbe hata hamwezi
4.Smackdown Women Championship
Hapa tutashudia mkali wao na mshindi wa elevation chamber kwa kina dada Charlotte Flair atapokutana uso kwa uso na mwanadada ambaye hajawahi kupigwa tangu aanze kupigana wrestling ambaye pia ni mshindi wa royal rumble upande wa kina dada si mwingine ni The impress of Tomorrow ASUKA. Je ASUKA anaendelea kuwa undefeated??? Ndo swali.
6.Raw Tag Team championship
Hapa kazi ipo, The Bar Brown stromen.
Hatari Sana, stromen Yule Yule.
8.Women's Championship
Nia jax Vs Alexa Bliss
Je Nia jax atalipiza machungu Ya kupigwa na ASUKA paka akalia Kama mtoto??
Ahsanteni
Akapiga Gia ya mguu[emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] ili jamaa n hatar cna kanifraisha alivyo kuta limeamka alitaka kurud
Haaahhaha.Haya kamchukueni big dog wenu mkamzike.... Pumbav
Huyu jamaa, Sijui atapigwa na nani? Hahahahhah[emoji134]
Yaan mtu una Train hadi kuACHIEVE vitu fulani, alafu uje kupangiwa nini cha kufanya[emoji134]Tunahitimisha vp sasa wadau, mieleka ni maigizo au uhalisia!?
Hahahahaha...Mi Shahidi.Mzee Ntumie mzigo wangu
Hakupinga na mtu[emoji23]Wewe ulivyoahidi kwa dhati na kutoka moyoni kwa uma wa watanzania kuwa Asuka na Nakamura watashinda huo mzigo unampa nani mkuu???
HahahhahahhaHaah mzee..... Sijasema Mimi kuwa ASUKA na Nakamura watashinda.... Mi nlikuwa najiamini na Brock Lesnar tu.... Nipe mzigo wangu bana
Jamaa aKEEP PROMISE[emoji23] [emoji119]Haah mzee..... Sijasema Mimi kuwa ASUKA na Nakamura watashinda.... Mi nlikuwa najiamini na Brock Lesnar tu.... Nipe mzigo wangu bana
Hakupinga na mtu[emoji23]
Ila alipinga na wewe mechi ya The Beast
Mkuu ulitoa ahadi kibao kwa umma wa Watanzania kuwa kuna watu watashinda,mfano ulipinga na umma wa Watanzania kuwa uso watashinda[emoji116].....Sasa nieleze kinagaubaga kuwa mzigo anachukua nani kwanza!!Haah mzee..... Sijasema Mimi kuwa ASUKA na Nakamura watashinda.... Mi nlikuwa najiamini na Brock Lesnar tu.... Nipe mzigo wangu bana
Ila sikutaja mambo ya mzigo.... Mzigo nilitaja kwa Lesnar na Roman reigns tu... Daah nimeamini waongo si wanasiasa tu....ila mi ningekupa.. Believe or notMkuu ulitoa ahadi kibao kwa umma wa Watanzania kuwa kuna watu watashinda,mfano ulipinga na umma wa Watanzania kuwa uso watashinda[emoji116].....Sasa nieleze kinagaubaga kuwa mzigo anachukua nani kwanza!!View attachment 738834
Ni ya kutunga jamani. Hivi wewe na akili zako shemus na misuli yake akiwa na sizaro washindwe kumpiga huyo baunsa. Kweli??Yaan mtu una Train hadi kuACHIEVE vitu fulani, alafu uje kupangiwa nini cha kufanya[emoji134]
Kuna Wakina Sasha tangu watoto walikuwa na ndoto ya kuchukua Ubingwa WWE WOMAN.
ingekuwa ya kutunga, Washabiki wasingejazana vile uwanjani[emoji134] Sasa nilipe hela kuangalia kitu ambacho kinajulikana matokeo[emoji134]
Kaangalie mechi zake MMA na UFC uone akila kichapo maana kule ni realHuyu jamaa, Sijui atapigwa na nani? Hahahahhah[emoji134]
Ha ha sio hadithi wana. Matukio ya wwe unaweza kuyaotea jinsi ya trend zao. Mimi nimefutilia sana kuhusu wwe na comments za hata hao fans walioko huko usa they know ni fake/scripted kama movie.Hahhaha...Noma sana,
Hadi Nakamura kapigwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] .Jana ilikuwa noma sana.
Afu unamkumbuka yule jamaa jana[emoji23] [emoji119] , na Hadithi zake za kutunga maneno kibao[emoji23].
Umeamini mkuu watu Duniani walivyo[emoji23]