Crumpy Crumper
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,348
- 3,305
Hilo neno ungeandika kwenye search engine, ungepata majibu unayohitajiMMA n nn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo neno ungeandika kwenye search engine, ungepata majibu unayohitajiMMA n nn
Kama unalijua c unasema mkuuu.....Hilo neno ungeandika kwenye search engine, ungepata majibu unayohitaji
Mimi mechi bora kwangu ni ile ya yule mtoto mwenye miaka kumi aliechukua mkanda wa tag team wa akina the bar!![emoji28][emoji28][emoji28]Match yangu bora kwa jana
Triple H N MKe wake .... KURT angl.. n Ronda ..... na
seth .. mitz.. ..fin
Tufungue group la kwenye telegram!....kwenye telegram watu wasiojulika hawawezi kufua dafu ng'oo!....hata dada wa taifa anatumia magroup ya telegram kuorganize maandamano![emoji28][emoji28][emoji28]Tatizo ni watu wasiojulikana mwanangu. Watu washacoment sana habari za siasa halafu ndio utoe namna ya simu. TUTAPENA humu habari
Afu yule Dogo kama mgonjwa mgonjwaMimi mechi bora kwangu ni ile ya yule mtoto mwenye miaka kumi aliechukua mkanda wa tag team wa akina the bar!![emoji28][emoji28][emoji28]
Hapana mkuu,siyo mgonjwa ila aliingiwa na hofu kuu!!Afu yule Dogo kama mgonjwa mgonjwa
TNA ya kishamba, WWE full burudaniTNA iko chini ya nani hiii mieleka siipend
Ni kwel kwel aisee na ile mingineTNA ya kishamba, WWE full burudani
Nazikumbuka kauli zangu za awali kabla ya mpambano.....Kwa akili gani mtu anaweza kuamini Roman reigns anaweza mpiga Lesnar.... Labda akili za kubeti
Ila UFC si wanapumzika kwa dk kadhaa, sasa unafananishaje na mieleka amby mtu anapigana nusu saa mzm bila kumpumzika.Aliwahi haribiwa sura vibaya na kajamaa kadogo tu
Lesnar wa siku hz sio yule wa enz za wakina batista, jamaa ka-improve siku hz, si unaona hta cheat na ujanja ujanja hana, anashinda kihalali.Aliwahi haribiwa sura vibaya na kajamaa kadogo tu
Ipo kama kick boxer fulani hv wanapigana kwenye ulingo wa nyavu. Ni mashindano aina ya UFC yule mzungu aliyepigana na maywether juzi kati yuko UFCMMA n nn
TNA iko fake mpk inajulikana. Mi mwenyewe siipendi but wengi ambao mikataba ikiisha wwe wanaendaga hukoTNA iko chini ya nani hiii mieleka siipend
Maana undertaker ni babu saa hv hayuko physical fit. Ndo maana akaja siku ya mwisho kabisa. Maana mikiki ya kurushana kwenye meza haiwezi tena. Na sina uhakika kama utakuwepo next wreslemania. John mwenyewe soon anaishia kwenye movie mazima. Maana wwe yuko part time zaidiMiaka ya nyuma nilijua mieleka n ya kwel.. but kuna siku moja alikuwa anapambana onton na triple H nikajua sio kweli.. tokea hapo nikajua n kama movie vile... so ni burudani tu kama movies.. so n ku enjoy burudan.. tu...
Kwa wale ambao hawaamin
Hata jana kwenye ile match ya undertaker vs cena.. unaona kabsaa sio real
Kwahiyo wwe wangepumzika ndio kungekuwa na tofauti?? Kupumzika sio ishu maana mnapunzika woteIla UFC si wanapumzika kwa dk kadhaa, sasa unafananishaje na mieleka amby mtu anapigana nusu saa mzm bila kumpumzika.
Huu ubishi uishie hapa jamani, haina haja ya kubishana kitu ambacho hakitaki ku-draw real conclusion.