Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Match yangu bora kwa jana
Triple H N MKe wake .... KURT angl.. n Ronda ..... na

seth .. mitz.. ..fin
 
Match yangu bora kwa jana
Triple H N MKe wake .... KURT angl.. n Ronda ..... na

seth .. mitz.. ..fin
Mimi mechi bora kwangu ni ile ya yule mtoto mwenye miaka kumi aliechukua mkanda wa tag team wa akina the bar!![emoji28][emoji28][emoji28]
 
Tatizo ni watu wasiojulikana mwanangu. Watu washacoment sana habari za siasa halafu ndio utoe namna ya simu. TUTAPENA humu habari
Tufungue group la kwenye telegram!....kwenye telegram watu wasiojulika hawawezi kufua dafu ng'oo!....hata dada wa taifa anatumia magroup ya telegram kuorganize maandamano![emoji28][emoji28][emoji28]
 
Miaka ya nyuma nilijua mieleka n ya kwel.. but kuna siku moja alikuwa anapambana onton na triple H nikajua sio kweli.. tokea hapo nikajua n kama movie vile... so ni burudani tu kama movies.. so n ku enjoy burudan.. tu...

Kwa wale ambao hawaamin
Hata jana kwenye ile match ya undertaker vs cena.. unaona kabsaa sio real
 
Aliwahi haribiwa sura vibaya na kajamaa kadogo tu
Ila UFC si wanapumzika kwa dk kadhaa, sasa unafananishaje na mieleka amby mtu anapigana nusu saa mzm bila kumpumzika.

Huu ubishi uishie hapa jamani, haina haja ya kubishana kitu ambacho hakitaki ku-draw real conclusion.
 
Bila kusahau tarehe 27 tutakwenda Saudi Arabia kwny greatest royal rumble.
 
Aliwahi haribiwa sura vibaya na kajamaa kadogo tu
Lesnar wa siku hz sio yule wa enz za wakina batista, jamaa ka-improve siku hz, si unaona hta cheat na ujanja ujanja hana, anashinda kihalali.
 
Mechi zijaazo zitakuwa ni kali sana kwa sababu watu watakuwa wanadai mikanda yao irudishwe kwa mfano USO na New day watataka yale majamaa mauaji yarudishe mkanda wao wa tag team na hapo ndipo patachimbika!![emoji28][emoji28][emoji28]
 
Miaka ya nyuma nilijua mieleka n ya kwel.. but kuna siku moja alikuwa anapambana onton na triple H nikajua sio kweli.. tokea hapo nikajua n kama movie vile... so ni burudani tu kama movies.. so n ku enjoy burudan.. tu...

Kwa wale ambao hawaamin
Hata jana kwenye ile match ya undertaker vs cena.. unaona kabsaa sio real
Maana undertaker ni babu saa hv hayuko physical fit. Ndo maana akaja siku ya mwisho kabisa. Maana mikiki ya kurushana kwenye meza haiwezi tena. Na sina uhakika kama utakuwepo next wreslemania. John mwenyewe soon anaishia kwenye movie mazima. Maana wwe yuko part time zaidi
 
Ila UFC si wanapumzika kwa dk kadhaa, sasa unafananishaje na mieleka amby mtu anapigana nusu saa mzm bila kumpumzika.

Huu ubishi uishie hapa jamani, haina haja ya kubishana kitu ambacho hakitaki ku-draw real conclusion.
Kwahiyo wwe wangepumzika ndio kungekuwa na tofauti?? Kupumzika sio ishu maana mnapunzika wote
 
Back
Top Bottom