Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

hiyo namba 5. utakuwa uliangalia kwa makengeza seth ndie alieshinda.
 
Naona. Jeff hardy ana unyemwelsa Mkanda wa intercontinental wa Seth
 
Naona. Jeff hardy ana unyemwelsa Mkanda wa intercontinental wa Seth
Miz alikuwa anaomba huruma... Ahurumiwe... Eti Seth kamliza mke wake binti yake na yenye pia........ Hata hivyo Nimefurahi sana kumwona Jeff Hardy
 
Reigns bongo lala kabisa ana style moja ya kushinda ya super man punch akijitaidi spear(ambayo ipo kitambo).hana akili na hajui kupambana.royal rumble kama kawaida mnyama brock lesnar atamla kiboga.atampiga mpaka aue.suplex na f5 za kutosha.pambav
 
Hivi baada ya Ku cash in ile briefcase anabaki nayo Charlotte au inarudi WWE
IPO hiv unapoenda Ku cash in, wewe Mwenye briefcase ukipigwa Mzigo wote ulioshinda kipindi hicho, unampa mwenzio, ila ukishinda unachukua mkanda na Hela zako unaendelea kubaki Nazo brificase huwa ni nembo tu inawekwa pale kuweka uhalisia
 
Reigns bongo lala kabisa ana style moja ya kushinda ya super man punch akijitaidi spear(ambayo ipo kitambo).hana akili na hajui kupambana.royal rumble kama kawaida mnyama brock lesnar atamla kiboga.atampiga mpaka aue.suplex na f5 za kutosha.pambav
Hata finishing ya lesnar nayo ya kindezi maana huwezi kumpiga Roman F5s sita na suplex zisizo na idad ndo apate ushindi
 
Kwa kwenye azam TV, marudio ya WWE Raw kwa hewa now channel 208 MBC plus power
 
Reigns bongo lala kabisa ana style moja ya kushinda ya super man punch akijitaidi spear(ambayo ipo kitambo).hana akili na hajui kupambana.royal rumble kama kawaida mnyama brock lesnar atamla kiboga.atampiga mpaka aue.suplex na f5 za kutosha.pambav
Bora useme Wewe.... Nikisema Mimi naambiwa ushabiki . CC Behaviorist
 
Naona Roman reigns kapata saiz yake...... Saiz yake ni kina samoe joh.... Kule kwa kina Brock Lesnar anaforce to hapawezi
 
Hakuna kitu kilichonifurahisha kama Baron Corbin kuja raw kwani hakuna finishing ninayoipenda kama end of the day!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…