Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Channel gani?Tarehe 27,ijumaa saa18:00 s.sport tunacheki
Lipigwe tuJinder mahal alipigwa na Jeff Hardy na mkanda ukachukuliwa ila wana rematch ijumaa kule Saud Arabia katika ile greatest royal rumble!
Pamoja mkuu.Upo vizur mkuu ...unafaa kuwa mwalimu [emoji120][emoji120]
SS8 ndo mara nyingi wanarusha liveChannel gani?
Leo kwenye raw kapigwa tena na chad Gable!Lipigwe tu
Mbona wachezaj wa mieleka wana hama.... wale wa raw wanaenda smack down.... wale wa smack down wanaenda raw..Afadhali maana nlikuwa nawaza hizo tambo kila siku atatupotezea muda kujigamba ulingoni
Hio inaitwa WWE superstars Shake upMbona wachezaj wa mieleka wana hama.... wale wa raw wanaenda smack down.... wale wa smack down wanaenda raw..
. Wale wa raw wanaenda smack down wanaenda 205..
Sijaielewa mkuu... tafadhal naomba unielewesheHio inaitwa WWE superstars Shake up
2018 WWE Superstar Shake-up - WikipediaSijaielewa mkuu... tafadhal naomba unieleweshe
yaan mtikisiko wa juu wa WWE....asante rasi simba, angalau na mm natamba kwenye huu ulingo wa lugha...[emoji23] [emoji23]Sijaielewa mkuu... tafadhal naomba unieleweshe
Saa moja 7:00pmGreatest royal rumble ni saa ngapi wakuu?
Channel gani mkuu?Saa moja 7:00pm
Roman reign is a new champion[emoji13][emoji13][emoji13]
Chanel sijui mkuuNow is 19:03 i neither see show nor know where to watch it![emoji30][emoji30][emoji30]