Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Hakuna meneja ninaempenda WWE kama Kurt Angle!....Anawapangia mechi ngumu Sami zayn na KO ili wachezee kichapo hadi kibru chao kiishe!
 
Afadhali maana nlikuwa nawaza hizo tambo kila siku atatupotezea muda kujigamba ulingoni
Mbona wachezaj wa mieleka wana hama.... wale wa raw wanaenda smack down.... wale wa smack down wanaenda raw..
. Wale wa raw wanaenda smack down wanaenda 205..
 
Now is 19:03 i neither see show nor know where to watch it![emoji30][emoji30][emoji30]
 
Back
Top Bottom