Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Wanarudiana tena kupigana jumapili hii kwenye backlash kama sijakosea!Hivi mechi ya Ronda Rousy na yule mke wa Tipple H ni lini?
nipo front mkuuNakumbusha tu,kwa wale walioshindwa kuangalia greatest royal rumble live ipo leo supersport 10 kuanzia saa mbili usiku hadi saa sita usiku!
mpambano wa kwanza Ronda alishinda?Wanarudiana tena kupigana jumapili hii kwenye backlash kama sijakosea!
Stelingi wa mieleka ulishindwa vipi kuangalia live mkuu??[emoji12][emoji12][emoji12]nipo front mkuu
Ilinikutia safarini mkuu........[emoji23][emoji23]Stelingi wa mieleka ulishindwa vipi kuangalia live mkuu??[emoji12][emoji12][emoji12]
Pole sana mkuu,ila install redbox tv unakuwa unaangalia popote ulipo hata kama ni chooni na kwa muda wowote!...halafu redbox tv haili bando,nakumbuka show nzima niliangalia kwa 1gb tu kwa sababu hata DSTV hawakuonyesha live!Ilinikutia safarini mkuu........[emoji23][emoji23]
Kama Lesnar kachezea, Bhasi Roman kiboko na atakuwa tishio sana WWELesnar yuleyule kaka hata WWE wamekiri kwa kinywa chao kuwa alichezea kipigo cha mbwa koko!....Soma comment ya WWE hapo mkuu![emoji116]View attachment 758883
Redbox tv naipataje?Pole sana mkuu,ila install redbox tv unakuwa unaangalia popote ulipo hata kama ni chooni na kwa muda wowote!...halafu redbox tv haili bando,nakumbuka show nzima niliangalia kwa 1gb tu kwa sababu hata DSTV hawakuonyesha live!
ingia google andika 'redbox tv apk' then itakuja website yao then fungua hiyo website yao na install application yako!Redbox tv naipataje?
Shukrani mkuuingia google andika 'redbox tv apk' then itakuja website yao then fungua hiyo website yao na install application yako!
Channel nzuri kwa mieleka kwenye hiyo application ni sony ten 1 au skysport action!Shukrani mkuu
Shukrani sana kwa kunifumbua macho...Barikiwa.Channel nzuri kwa mieleka kwenye hiyo application ni sony ten 1 au skysport action!
mwenyewe nimeshangaa mkuuDSTV acheni uhuni,mlikuwa mmeweka katika tv guide zenu kuwa leo saa mbili usiku kutakuwa na marudio ya greatest royal rumble supersport 10 lakini from the middle of the nowhere kuna mpira now!!
Kwenye ile crew inayoutaka huo mkanda akina finn balor,the miz,rusev day,samoe joe hakuna hata mmoja ambae anaweza kumnyanganya Seth rollins huo mkanda!!......Seth rollins anazidi kuwa vizuri siku zinavyozidi kwenda mbele!Jana kwenye raw kidogo Finn balor achukue IC title kutoka kwa Seth
Nakubaliana na wewe ila Balor akikomaa anaweza IC championKwenye ile crew inayoutaka huo mkanda akina finn balor,the miz,rusev day,samoe joe hakuna hata mmoja ambae anaweza kumnyanganya Seth rollins huo mkanda!!......Seth rollins anazidi kuwa vizuri siku zinavyozidi kwenda mbele!
Inavyoonekana WWE hawakuwa tayari kumpa Roman title kwenye event ndogo tena outside of USARefa aliechezesha pambano la Lesnar na Roman reign ameomba msamaha kwa makosa aliyofanya ya kumnyima Roman reign mkanda![emoji116]View attachment 762921