Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Ilinikutia safarini mkuu........[emoji23][emoji23]
Pole sana mkuu,ila install redbox tv unakuwa unaangalia popote ulipo hata kama ni chooni na kwa muda wowote!...halafu redbox tv haili bando,nakumbuka show nzima niliangalia kwa 1gb tu kwa sababu hata DSTV hawakuonyesha live!
 
DSTV acheni uhuni,mlikuwa mmeweka katika tv guide zenu kuwa leo saa mbili usiku kutakuwa na marudio ya greatest royal rumble supersport 10 lakini from the middle of the nowhere kuna mpira now!!
 
Pole sana mkuu,ila install redbox tv unakuwa unaangalia popote ulipo hata kama ni chooni na kwa muda wowote!...halafu redbox tv haili bando,nakumbuka show nzima niliangalia kwa 1gb tu kwa sababu hata DSTV hawakuonyesha live!
Redbox tv naipataje?
 
Baada ya Lesnar kuchezea kipigo cha mbwa koko kwenye greatest royal rumble kutoka kwa Roman reign na Roman reign kuporwa ushindi wake hatimae Kurt angle atoa neno![emoji116]
IMG_20180501_173246_876.JPG
 
Jana kwenye raw kidogo Finn balor achukue IC title kutoka kwa Seth
Kwenye ile crew inayoutaka huo mkanda akina finn balor,the miz,rusev day,samoe joe hakuna hata mmoja ambae anaweza kumnyanganya Seth rollins huo mkanda!!......Seth rollins anazidi kuwa vizuri siku zinavyozidi kwenda mbele!
 
Refa aliechezesha pambano la Lesnar na Roman reign ameomba msamaha kwa makosa aliyofanya ya kumnyima Roman reign mkanda![emoji116]
IMG_20180501_210832_523.JPG
 
Back
Top Bottom