Baba Mtakatifu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2017
- 1,332
- 2,465
- Thread starter
-
- #1,041
Rekebisha kauli, hakupora ushindi....bali alisshinda kihalali kulingana na sheriaBaada ya Lesnar kuchezea kipigo cha mbwa koko kwenye greatest royal rumble kutoka kwa Roman reign na Roman reign kuporwa ushindi wake hatimae Kurt angle atoa neno![emoji116]View attachment 762714
Duh!!....Mkuu umefuatilia hizi habari??....Umefuatilia Kurt angle amesemaje kuhusiana na hili sakata??......umefuatilia refa aliechezesha ile mechi amesemaje??....unafahamu ile sheria inasemaje??....Kwa kifupi sana ni kwamba ile sheria inasema kuwa anaetangulia kukanyaga chini/aridhi na miguu yote miwili ndiye mshindi,na roman reign ndiye alietangulia kukanyaga chini/aridhi na miguu yote miwili.Mwili wa Lesnar ulitangulia chini ila alibakia kwenye zile nyavu!.....Kurt angle(meneja wa raw) amesema hivi:"yes, we messed up, but also, nothing changes, and that’s all there is to it.” na refa(Patton) aliechezesha ile mechi amesema hivi:“I understand i made an incorrect decision & want to apologize,i saw Brock Lesnar go thru the cage first and i was concerned for the health and safety of both superstars.”Rekebisha kauli, hakupora ushindi....bali alisshinda kihalali kulingana na sheria
Macho manUmenikumbusha enzi za Shawn Michael na Holk Hogan
itume huku na mm niichukueNachokikubali kutoka kwa shinsuke ni ile theme song yake tu mpaka nimeiset as ringtone ila zaid ya hapo hajawahi nishawishi...
Kuapload audio ndo tatizo, labda unipe maujanja chief nikupandishie fasta!!itume huku na mm niichukue
Duh!!....Mkuu umefuatilia hizi habari??....Umefuatilia Kurt angle amesemaje kuhusiana na hili sakata??......umefuatilia refa aliechezesha ile mechi amesemaje??....unafahamu ile sheria inasemaje??....Kwa kifupi sana ni kwamba ile sheria inasema kuwa anaetangulia kukanyaga chini/aridhi na miguu yote miwili ndiye mshindi,na roman reign ndiye alietangulia kukanyaga chini/aridhi na miguu yote miwili.Mwili wa Lesnar ulitangulia chini ila alibakia kwenye zile nyavu!.....Kurt angle(meneja wa raw) amesema hivi:"yes, we messed up, but also, nothing changes, and that’s all there is to it.” na refa(Patton) aliechezesha ile mechi amesema hivi:“I understand i made an incorrect decision & want to apologize,i saw Brock Lesnar go thru the cage first and i was concerned for the health and safety of both superstars.”
Seth rolins anakuja kuwa tishio kwa sababu anaimarika kila kukicha,na ile finishing style yake ndiyo balaa!!hivi ndo kusema Fin ballor hata akukuruke vip hamwezi seth rollings
nouma sanaa....Backlash itaonyeshwa leo jumapili live supersport 8 kuanzia saa tisa ya usiku kwa saa za huku Tanzania hadi saa moja na nusu asubuhi![emoji116]View attachment 767508
Mkuu nakusahihisha kidogo Randy Orton vs Jeff HardyNakumbusha tu:Baadhi ya mechi kali leo kwenye Backlash ya 2018 ni:
1.Randy Orton vs Matt Hardy
2.Roman reign vs Samoa Joe
3.Seth rollings vs Miz
4.Camella vs Charlotte flair
5.Nia Jax vs Alex Bliss
6.Daniel Bryan vs Big Cass
7.Aj style vs Nakamura
8.Braun Strowman & Bobby Lashley vs. Kevin Owens & Sami Zayn(Nafurahi sana akina owens na Sami Zayn kupangiwa mechi za kupokea kipigo cha mbwa koko!!)
Asante mkuu nimerekebisha,nimechanganya hawa ndugu!![emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu nakusahihisha kidogo Randy Orton vs Jeff Hardy
Inapigwa saa ngapi live mkuu kwa masaa ya kwetu?Asante mkuu nimesharekebisha!![emoji23][emoji23][emoji23]
Owns na samy lazima wachezee kichapo za mbwa koko.. Siwapendi hawa mafala[emoji23][emoji23]Nakumbusha tu:Baadhi ya mechi kali leo kwenye Backlash ya 2018 ni:
1.Randy Orton vs Jeff Hardy
2.Roman reign vs Samoa Joe
3.Seth rollings vs Miz
4.Camella vs Charlotte flair
5.Nia Jax vs Alex Bliss
6.Daniel Bryan vs Big Cass
7.Aj style vs Nakamura
8.Braun Strowman & Bobby Lashley vs. Kevin Owens & Sami Zayn(Nafurahi sana akina owens na Sami Zayn kupangiwa mechi za kupokea kipigo cha mbwa koko!!)
Kweli kaka fin balor, yule jamaa sio poaaa,,, nilianza kumkubalii royal rumble aloshinda nakamura!!!Nakubaliana na wewe ila Balor akikomaa anaweza IC champion