Duh!!....Mkuu umefuatilia hizi habari??....Umefuatilia Kurt angle amesemaje kuhusiana na hili sakata??......umefuatilia refa aliechezesha ile mechi amesemaje??....unafahamu ile sheria inasemaje??....Kwa kifupi sana ni kwamba ile sheria inasema kuwa anaetangulia kukanyaga chini/aridhi na miguu yote miwili ndiye mshindi,na roman reign ndiye alietangulia kukanyaga chini/aridhi na miguu yote miwili.Mwili wa Lesnar ulitangulia chini ila alibakia kwenye zile nyavu!.....Kurt angle(meneja wa raw) amesema hivi:"yes, we messed up, but also, nothing changes, and that’s all there is to it.” na refa(Patton) aliechezesha ile mechi amesema hivi:“I understand i made an incorrect decision & want to apologize,i saw Brock Lesnar go thru the cage first and i was concerned for the health and safety of both superstars.”