Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Mkuu roman hakuamua tu,, angemwamulia amchape kipgo alichompa lesna, [emoji23] mbn dakk 10 zingekua nyingi!!!
Maan yeye na lesna walichukua dkk 9 iviii
Hata hivyo nafikiri Roman leo alikuwa ana uchovu wa mapambano ya Lesnar!
 
Watu wanaoweza kuyapiga yale majamaa mauaji labda akina authors of pain tofauti na hapo hakuna!!
Asee monster anambio kama swala kamkimbiza samy kama kamleta nimechekaaa sana, nimetizama marudio ya fasta kwenye YouTube ya Amit Rana kama kuna alie kosa unaweza tizama japo ni edit lakini iko powa sana.. Seth, Monster na Roman amefanya siku yangu iwe powa sanaa..
 
Kpnd monsta alkua na bifu na reign mwk jana,,, nilkua simpendii ata kidgo, ila sasa ivii namwelewa kinomaaaaa
 
Vipi washabiki wa Miz imekuwaje..??? Yule ashakuwa drafted Smackdown aanze kukimbizana na akina jeff hardy.
Bob lashley atapigana na Brock Lesnar Summer slam...
Sababu now mkataba wa brock.lasner wamekubaliana wwe na Ufc kuwa awe anapigana kotekote....so bado yupo yupo.
 
Kpnd monsta alkua na bifu na reign mwk jana,,, nilkua simpendii ata kidgo, ila sasa ivii namwelewa kinomaaaaa
Kam mm asee nilikuwa na mchukia ila sahv burudani saaana
 
Hv Lesner mbona hapewi challenge saana yaani yeye ni events to events tuu
 
Hv Lesner mbona hapewi challenge saana yaani yeye ni events to events tuu
Hakuna mtu ambae yupo tayari kupigana nae isipokuwa Roman reign pekee ndiye anaejaribu jaribu!!...No one is ready to Monster among the men!!
 
Sheria inasema kuwa alietangulia kugusa aridhi kwa miguu yote miwili ndiye mshindi,Lesnar alitangulia ila akabakia kwenye ule wavu!!
Mkuu unajua kiswahili? miguu kufika chini na miguu kuwa juu ya wavu kipi sawa? daag ngoja nikuache [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mkuu unajua kiswahili? miguu kufika chini na miguu kuwa juu ya wavu kipi sawa? daag ngoja nikuache [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ile sheria ipo simple and clear,ili uwe mshindi unatakiwa uwe wa kwanza miguu yako yote kukanyaga ardhi!....Sasa miguu yangu ikikanyaga ubao,wavu au kitu chochote kile kilichopo juu ya ardhi hapo nakuwa siyo mshindi as long as miguu yangu haijakanyaga ardhi,hapo kuna ugumu gani kuelewa sasa???
 
ubishi wa nn...si muiweke hiyo sheria hapa mezani tuichambue.....naskia ile sheria ile sheria....wengine hatuijui...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…