Aisee jamaa ana nguvu za ajabu, kaingia mwanzoni kbs akiwa wa kwanza na katoka mwishoniIla Daniel brayan huyu jamaa ni tatizo aiseee...heshima kwake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee jamaa ana nguvu za ajabu, kaingia mwanzoni kbs akiwa wa kwanza na katoka mwishoniIla Daniel brayan huyu jamaa ni tatizo aiseee...heshima kwake
Limepigwa hadi nimefurahiLesnar leo kapata kipigo cha mbwa koko!
Hata hivyo nafikiri Roman leo alikuwa ana uchovu wa mapambano ya Lesnar!Mkuu roman hakuamua tu,, angemwamulia amchape kipgo alichompa lesna, [emoji23] mbn dakk 10 zingekua nyingi!!!
Maan yeye na lesna walichukua dkk 9 iviii
Haahaha kale kajamaa kana pumziii aiseeHata finn balor atasubiri sana!!
[emoji23][emoji23][emoji23]Limepigwa hadi nimefurahi
Kweliiii,Hata hivyo nafikiri Roman leo alikuwa ana uchovu wa mapambano ya Lesnar!
Limechezea kichapo hadi nilifurahiAngalia haya youtube pia uone aseee..., Mbona mwingine ubishi..., Marefa sometimes mihemko nao inawasumbua..., Leo brock kachezea vitasa kinoma hahaha
ila nashukuru Mungu Spear mbili zimemtosha Samoa Joe!Kweliiii,
Watu wanaoweza kuyapiga yale majamaa mauaji labda akina authors of pain tofauti na hapo hakuna!!Nimeskitika sana USOS wameshindwa tena! [emoji30]
Asee monster anambio kama swala kamkimbiza samy kama kamleta nimechekaaa sana, nimetizama marudio ya fasta kwenye YouTube ya Amit Rana kama kuna alie kosa unaweza tizama japo ni edit lakini iko powa sana.. Seth, Monster na Roman amefanya siku yangu iwe powa sanaa..Watu wanaoweza kuyapiga yale majamaa mauaji labda akina authors of pain tofauti na hapo hakuna!!
Yule sio saizi ya reignss jamniii, af samoa anavyojitutumua akiwa anaongea utfakr hakuna wa kumpga wwe,, kumbee holaaila nashukuru Mungu Spear mbili zimemtosha Samoa Joe!
Kpnd monsta alkua na bifu na reign mwk jana,,, nilkua simpendii ata kidgo, ila sasa ivii namwelewa kinomaaaaaAsee monster anambio kama swala kamkimbiza samy kama kamleta nimechekaaa sana, nimetizama marudio ya fasta kwenye YouTube ya Amit Rana kama kuna alie kosa unaweza tizama japo ni edit lakini iko powa sana.. Seth, Monster na Roman amefanya siku yangu iwe powa sanaa..
Kam mm asee nilikuwa na mchukia ila sahv burudani saaanaKpnd monsta alkua na bifu na reign mwk jana,,, nilkua simpendii ata kidgo, ila sasa ivii namwelewa kinomaaaaa
Hv Lesner mbona hapewi challenge saana yaani yeye ni events to events tuuVipi washabiki wa Miz imekuwaje..??? Yule ashakuwa drafted Smackdown aanze kukimbizana na akina jeff hardy.
Bob lashley atapigana na Brock Lesnar Summer slam...
Sababu now mkataba wa brock.lasner wamekubaliana wwe na Ufc kuwa awe anapigana kotekote....so bado yupo yupo.
Hakuna mtu ambae yupo tayari kupigana nae isipokuwa Roman reign pekee ndiye anaejaribu jaribu!!...No one is ready to Monster among the men!!Hv Lesner mbona hapewi challenge saana yaani yeye ni events to events tuu
Ndio mkataba wake ulivyoHv Lesner mbona hapewi challenge saana yaani yeye ni events to events tuu
Mkuu unajua kiswahili? miguu kufika chini na miguu kuwa juu ya wavu kipi sawa? daag ngoja nikuache [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sheria inasema kuwa alietangulia kugusa aridhi kwa miguu yote miwili ndiye mshindi,Lesnar alitangulia ila akabakia kwenye ule wavu!!
ile sheria ipo simple and clear,ili uwe mshindi unatakiwa uwe wa kwanza miguu yako yote kukanyaga ardhi!....Sasa miguu yangu ikikanyaga ubao,wavu au kitu chochote kile kilichopo juu ya ardhi hapo nakuwa siyo mshindi as long as miguu yangu haijakanyaga ardhi,hapo kuna ugumu gani kuelewa sasa???Mkuu unajua kiswahili? miguu kufika chini na miguu kuwa juu ya wavu kipi sawa? daag ngoja nikuache [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ubishi wa nn...si muiweke hiyo sheria hapa mezani tuichambue.....naskia ile sheria ile sheria....wengine hatuijui...ile sheria ipo simple and clear,ili uwe mshindi unatakiwa uwe wa kwanza miguu yako yote kukanyaga ardhi!....Sasa miguu yangu ikikanyaga ubao,wavu au kitu chochote kile kilichopo juu ya ardhi hapo nakuwa siyo mshindi as long as miguu yangu haijakanyaga ardhi,hapo kuna ugumu gani kuelewa sasa???