Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Last pambano Roman vs Lesnar GRR saudi Roman won the match na alimbonda sana Lesnar ila kuna kanamna kalitokea tu...

baada ya game refa yule na kurt Angle waliomba radhi kwa kilichotokea...

Eti Roman size yake Mahal hapana tena kwa herufi kubwa eti one on one match Mahal atabebwa na Ambulance...

Braun & Lesnar ndio watam-challenge Roman sana, ila sana sana Huyu Lesnar braun miguvu mingi akili chache ndio maana mechi za qualification au za mikanda kuchukua ni ngumu.Ila braun kwa sasa naona amechange style ya upiganaji wake sio wa hasira hasira sana...

Rollins,aah i appreciate him.The guy is not coward aisee.
Rollins ni fighting champion kila wiki anatoa nafasi kwa mtu yeyote anaetaka mkanda wa IC then anambonda,yeye Lesnar ni coward champion yupo mafichoni na mkanda wake!.....Rollins kwa speed anayokwenda nayo atakuja kuwabonda kaka zake akina Roman reign,Lesnar na Broun Strowman believe me!!
 
Hivi haya mapambano wanayocheza huko kwenye tour yao ya ulaya huwa yanaonyeshwa channel gani??.....Nasikia Seth rollins amedefend mkanda wake wa IC tour nzima huko ulaya!
 
[emoji28][emoji28][emoji28]
IMG_20180521_12193.jpg
 
Mkuu Amber ni mzuri, lakini bado kuna vitu anahitaji kuviweka sawa, ana energy lakini hajawa na strategy kivile, Sijawahi kushuhudia finishing yake ambayo mtu hachomoki, ila kadri mda unavyoenda atakuwa ni tishio kubwa sana.
Ana finishing yake ambayo anapanda kwenye kamba then anakurukia na kukukunja na anakuwa amekumaliza mazima!![emoji116]
ZA3t4cY(2).gif
 
Hivi kwann siku hizi John Cena kawa wa kawaida sana?

Yaani alilia sana kupewa undertaker kwenye wrestlemania, alipigwa kiwepesi mno
 
Back
Top Bottom