Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Rollins ni fighting champion kila wiki anatoa nafasi kwa mtu yeyote anaetaka mkanda wa IC then anambonda,yeye Lesnar ni coward champion yupo mafichoni na mkanda wake!.....Rollins kwa speed anayokwenda nayo atakuja kuwabonda kaka zake akina Roman reign,Lesnar na Broun Strowman believe me!!
 
Hivi haya mapambano wanayocheza huko kwenye tour yao ya ulaya huwa yanaonyeshwa channel gani??.....Nasikia Seth rollins amedefend mkanda wake wa IC tour nzima huko ulaya!
 
Mkuu Amber ni mzuri, lakini bado kuna vitu anahitaji kuviweka sawa, ana energy lakini hajawa na strategy kivile, Sijawahi kushuhudia finishing yake ambayo mtu hachomoki, ila kadri mda unavyoenda atakuwa ni tishio kubwa sana.
Ana finishing yake ambayo anapanda kwenye kamba then anakurukia na kukukunja na anakuwa amekumaliza mazima!![emoji116]
 
Hivi kwann siku hizi John Cena kawa wa kawaida sana?

Yaani alilia sana kupewa undertaker kwenye wrestlemania, alipigwa kiwepesi mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…