Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Amber Moon ni hatari,, alafu ni mrembo yule.. Yupo sexy
Umeona eenh! Sometimes huwa najiuliza hawa warembo huku kwenye mieleka wanataka nini. Lakini ndo hvo wenzetu wanafanya kitu kwa passion
 
Mkuu wewe utakuwa unagawana mshahara na Paul heyman, maana sio kwa mahaba yhaya [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Haya ni mahabatii[emoji38]
Mkuu tangu mwk uanzee huu, lesna kachecheza mapambo machache mno si kwamba hakuna wa kumpga, kiboko yake ni R.R hamn ubishi kwa hilii
 
Haya ni mahabatii[emoji38]
Mkuu tangu mwk uanzee huu, lesna kachecheza mapambo machache mno si kwamba hakuna wa kumpga, kiboko yake ni R.R hamn ubishi kwa hilii
Anapigana mapambano machache maana hamna wa kumpiga wwe nzima.kama kombinesheni ya huyo dogo roman reigns,sam joe na braun stroman na wote akawatandika kichapo ili hali alikua anaumwa.braun strawman mzee wa get these hands akiwa kwenye coridor akapishana na brock lesnar the beast lazima asimame aseme shikamoo bulaza...tumpe heshima yake brock lesnar na tuache kabisa kumlinganisha na roman reigns size ya jindre na kina elayas..tukiacha mahaba jana jindre mahal maharaja katoa kichapo cha kuua mtu kwa roman reigns viti kama sabini
 
Tangu the usos wanyang'anywe mkanda na yale mazee machawi naona ka!a wamekuwa mdebwedo sana
 
Eti kuna kipigo nilikiona money in the bank kati ya roman finn balor na Sam Zain
Ni ya kitambo au maana mm huwa nafatilia kwenye chanel ya MBC Action
Siyo ya kitambo mwaya!...MBC action huwa inaonyesha wiki moja baada ya pambano!......Nunua king'amuzi cha DSTV utakuwa unaona mechi zote live na marudio kwa siku hiyohiyo ya mechi kwa kifurushi cha tsh 19,000/= tu kwa mwezi!
 
Duuh......nlikuwa nimemic sana hili jukwaa......vipi wadau mpo.....Vipi roman reign anaendeleaje....kashamuweza Lesnar? naskia ameamua kupambana na level zake kina Maharaja
 
Kuna uwezekano mkubwa Seth rollins a.k.a the fighting champion akaja kumpiga Lesnar a.k.a a coward champion kwani kuna clip moja ya raw nimeiona leo wanabishana sasa ile Lesnar anataka kumpiga the fighting champion kitu cha suplex city the fighting champion akapangua hiyo kitu kwa kurotate(kama kubinuka hivi) na kutua chini akiwa amesimama wima then Lesnar a.k.a a coward champion akala teke la shingo!!.....nasubiria kwa hamu the fighting champion to test his limit!
 
Duuh mzee umeamia kwa Seth Rollings ...Ama kweli mwisho wa siku Roman Reings atabaki akiwa hana hata mtu mmoja anae msapoti....
 
Duuh mzee umeamia kwa Seth Rollings ...Ama kweli mwisho wa siku Roman Reings atabaki akiwa hana hata mtu mmoja anae msapoti....
Nimeandika juu ya Seth rollins kwa sababu namkubali sana kwa kuwa ni fighting champion,Lesnar ni coward champion yupo mafichoni,i don't wanna be anything like Brock Lesnar!
 
Duuh......nlikuwa nimemic sana hili jukwaa......vipi wadau mpo.....Vipi roman reign anaendeleaje....kashamuweza Lesnar? naskia ameamua kupambana na level zake kina Maharaja
Mkuu sahv roman yupo hospital size yake maharaja alimpa kipigo heavy mpaka akawa analia...naona ata maharaja ni kama tunampa kiki akapigane na elayas
 
Hahaha leo mkuu sio roman apigane na brock lesnar?umesahau mabandiko yako au umeona roman hamwez brock lesnar umeamua kuhamisha matumaini yako kwa seth rollings?ata aje nani pale wwe ata wakombaini huyo seth na roman hawawez kumpiga yule muuaji,mnyama brock lesnar..seth aendeleee kuruka ruka sarakasi na kina fin
 
Duuh mzee umeamia kwa Seth Rollings ...Ama kweli mwisho wa siku Roman Reings atabaki akiwa hana hata mtu mmoja anae msapoti....
Hahahaa umeona jamaaa kahamia kwa seth yale mahama kwa roman yameisha na watahama wote tu muda utasema
 
Nimeandika juu ya Seth rollins kwa sababu namkubali sana kwa kuwa ni fighting champion,Lesnar ni coward champion yupo mafichoni,i don't wanna be anything like Brock Lesnar!
Vp kuhusu raw iliyopita unazungumziaje vile viti vya jindre mahal maharaja
 
Naunga mkono hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…