Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Huyu jinder mchumba tuu.. Kwanza hawezi simama peke yake mpaka vile vipimbi vyake na akisimama mwenyewe na wakali kama RR lazima apigwe saaana.
Nadhani akikutana na Finn Barlo atagongwa vya kutosha
 
Wadau naomba leo orodhesha entrace song au style ya mwanamieleka anapoingia uwanjani.zangu ni hizi:ya kwanza ni ya shinki nakamura aisee kale kawimbo katamu sana kuna gitaa zimegonga humo sio za kitoto na nakubali anavyocheza,kuna ya undertaker hilo biti unaweza kimbia,goldberg hasa anapogongewa mlango na mwendo wa kibabe na akifika mlango wa stejini zile cheche na urushaji wake wa ngumi na teke unajua kabisa jamaa anaua leo,the rock(if yu smell what the rock is cooking) jamaa akifika ulingoni anaonyesha ngumi moja hewani swafi kabisa,broun strawman na elayas hasa anavyojitambulisha na kuwauliza umati who wants to walk with elayas au wwe stands for?walk with elayas....karibuni
 

naikubali sana ya Edge, mpaka leo hii, ikifuatiwa ya Sheamus ile ya kwanza kabisa achana na hii ya pili, nakamura akimalizia hasa hasa akileta na band kabisa katika main event kubwa kama wrestlemania, kwa wadada ni entrance song ya sasha banks
 
Glorious[emoji442] [emoji442]!!
ndo habari ya mjini kwa sasa.
 
Dah! Sijafuatilia mieleka siku nyingi, wacha niwe mpenzi msomaji wa uzi huu
 
Kuna nyimbo kali kama ya Randy Orton
Aj Lee
Chris Jericho
DX
The Rock
Layla etc
 
Mkuu Jinder Mahar ni mzee wa timing lakin kiukweli hawezi kumpiga Romani kama wakipewa pambano
Jinder Mahal hawez kupigana ndio maana hata wwe iliwahi kusitisha mkataba wake. Alirudishwa kwa sababu tu za kibiashara maana walikua wanahitaji fan base kubwa kwenye ziara yao ya India. Tofauti na hapo Jinder hana tofauti na Elias.
 

Undertaker, Rest in peace

John Cena, time is now

Fin Balor , catch your breath

S.Nakamura, the rising sun

Edge, Metalingus

Hizo ndio the best entrance theme song!!
 
Duuh mzee umeamia kwa Seth Rollings ...Ama kweli mwisho wa siku Roman Reings atabaki akiwa hana hata mtu mmoja anae msapoti....
Kwani wewe unampenda Lesnar peke yake??....Kwani wewe huruhusiwi kuzungumzia mchezaji mwingine tofauti na Lesnar???....Wewe hakuna wachezaji wengine ambao wanakukosha tofauti na Lesnar?!......Mimi kuzungumzia wachezaji wengine ninaowapenda imekuwa kesi??!
 
[emoji23] [emoji23] Basi brooo...nakumbuka hela yangu lakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…