Dannis
JF-Expert Member
- Jan 21, 2016
- 1,603
- 1,702
Hapa kuna bifu zito kati ya Jinder Mahar na RomanVp kuhusu raw iliyopita unazungumziaje vile viti vya jindre mahal maharaja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa kuna bifu zito kati ya Jinder Mahar na RomanVp kuhusu raw iliyopita unazungumziaje vile viti vya jindre mahal maharaja
Huyu jinder mchumba tuu.. Kwanza hawezi simama peke yake mpaka vile vipimbi vyake na akisimama mwenyewe na wakali kama RR lazima apigwe saaana.Hapa kuna bifu zito kati ya Jinder Mahar na Roman
Nadhani akikutana na Finn Barlo atagongwa vya kutoshaHuyu jinder mchumba tuu.. Kwanza hawezi simama peke yake mpaka vile vipimbi vyake na akisimama mwenyewe na wakali kama RR lazima apigwe saaana.
Maaharaja Jinder Mahal kwa sasa ndo kiboko ya Roman Reigns....Brock Lesnar Tumtaftie mwingine Maana Reigns kashakubali matokeo kaamua kupambana na level zake.Hapa kuna bifu zito kati ya Jinder Mahar na Roman
Mkuu Jinder Mahar ni mzee wa timing lakin kiukweli hawezi kumpiga Romani kama wakipewa pambanoMaaharaja Jinder Mahal kwa sasa ndo kiboko ya Roman Reigns....Brock Lesnar Tumtaftie mwingine Maana Reigns kashakubali matokeo kaamua kupambana na level zake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ata kwa ku bet jinder hawezi kabisaa.. Anaotea tena kwa msaadaMkuu Jinder Mahar ni mzee wa timing lakin kiukweli hawezi kumpiga Romani kama wakipewa pambano
Mbona CM punk hayupo on the listThese champions know how to hold on to the gold.View attachment 785292
Sent using Jamii Forums mobile app
Maharaja atampiga ili aende kabisa kwenye levo yake ya elayasMaaharaja Jinder Mahal kwa sasa ndo kiboko ya Roman Reigns....Brock Lesnar Tumtaftie mwingine Maana Reigns kashakubali matokeo kaamua kupambana na level zake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Namwona mnyama ametulia hapo juu.bora wampe tu huo mkanda hamna wa kuuchukuaThese champions know how to hold on to the gold.View attachment 785292
Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau naomba leo orodhesha entrace song au style ya mwanamieleka anapoingia uwanjani.zangu ni hizi:ya kwanza ni ya shinki nakamura aisee kale kawimbo katamu sana kuna gitaa zimegonga humo sio za kitoto na nakubali anavyocheza,kuna ya undertaker hilo biti unaweza kimbia,goldberg hasa anapogongewa mlango na mwendo wa kibabe na akifika mlango wa stejini zile cheche na urushaji wake wa ngumi na teke unajua kabisa jamaa anaua leo,the rock(if yu smell what the rock is cooking) jamaa akifika ulingoni anaonyesha ngumi moja hewani swafi kabisa,broun strawman na elayas hasa anavyojitambulisha na kuwauliza umati who wants to walk with elayas au wwe stands for?walk with elayas....karibuni
Glorious[emoji442] [emoji442]!!Wadau naomba leo orodhesha entrace song au style ya mwanamieleka anapoingia uwanjani.zangu ni hizi:ya kwanza ni ya shinki nakamura aisee kale kawimbo katamu sana kuna gitaa zimegonga humo sio za kitoto na nakubali anavyocheza,kuna ya undertaker hilo biti unaweza kimbia,goldberg hasa anapogongewa mlango na mwendo wa kibabe na akifika mlango wa stejini zile cheche na urushaji wake wa ngumi na teke unajua kabisa jamaa anaua leo,the rock(if yu smell what the rock is cooking) jamaa akifika ulingoni anaonyesha ngumi moja hewani swafi kabisa,broun strawman na elayas hasa anavyojitambulisha na kuwauliza umati who wants to walk with elayas au wwe stands for?walk with elayas....karibuni
Jinder Mahal hawez kupigana ndio maana hata wwe iliwahi kusitisha mkataba wake. Alirudishwa kwa sababu tu za kibiashara maana walikua wanahitaji fan base kubwa kwenye ziara yao ya India. Tofauti na hapo Jinder hana tofauti na Elias.Mkuu Jinder Mahar ni mzee wa timing lakin kiukweli hawezi kumpiga Romani kama wakipewa pambano
huku ni zaidi ya kuangaliaDah! Sijafuatilia mieleka siku nyingi, wacha niwe mpenzi msomaji wa uzi huu
Wadau naomba leo orodhesha entrace song au style ya mwanamieleka anapoingia uwanjani.zangu ni hizi:ya kwanza ni ya shinki nakamura aisee kale kawimbo katamu sana kuna gitaa zimegonga humo sio za kitoto na nakubali anavyocheza,kuna ya undertaker hilo biti unaweza kimbia,goldberg hasa anapogongewa mlango na mwendo wa kibabe na akifika mlango wa stejini zile cheche na urushaji wake wa ngumi na teke unajua kabisa jamaa anaua leo,the rock(if yu smell what the rock is cooking) jamaa akifika ulingoni anaonyesha ngumi moja hewani swafi kabisa,broun strawman na elayas hasa anavyojitambulisha na kuwauliza umati who wants to walk with elayas au wwe stands for?walk with elayas....karibuni
Kwani wewe unampenda Lesnar peke yake??....Kwani wewe huruhusiwi kuzungumzia mchezaji mwingine tofauti na Lesnar???....Wewe hakuna wachezaji wengine ambao wanakukosha tofauti na Lesnar?!......Mimi kuzungumzia wachezaji wengine ninaowapenda imekuwa kesi??!Duuh mzee umeamia kwa Seth Rollings ...Ama kweli mwisho wa siku Roman Reings atabaki akiwa hana hata mtu mmoja anae msapoti....
[emoji23] [emoji23] Basi brooo...nakumbuka hela yangu lakiniKwani wewe unampenda Lesnar peke yake??....Kwani wewe huruhusiwi kuzungumzia mchezaji mwingine tofauti na Lesnar???....Wewe hakuna wachezaji wengine ambao wanakukosha tofauti na Lesnar?!......Mimi kuzungumzia wachezaji wengine ninaowapenda imekuwa kesi??!