Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Wale jamaa wanaokatikaga. Wanakuja na magitaa wanaitwaje vile....
 
Mi napenda kuangalia wrestling..... Naomba basi mtupieni clip zinazoonesha mapambano ila na sie tusie na vingamuzi tujue kinachoendelea
 
Hivi Mitz ni mpiganaji au mchekeshaji ......maana c kwa vituko hivi........ Alafu ndo anatangaza kuchukua intercontinental toka kwa Roman Empire...... [emoji23][emoji23][emoji23]
Anakimbia utafikiri ni mchezo wa kukimbizana!!
 
Mimi ni shabiki namba 1 wa Brock Lesnar,

Namkubali mno,
Ukitaka kumjua yupo Vipi kamuulize John Cena.

Kuna pambano lao John Cena alianza kwa kumpiga kibao Lesnar kabla pambano halijaanza, Kilichotokea alivunjwa taya hadi damu ikamtoka.

Waiting For Brock.
 
Kama una king'amuzi cha azam tv fuatilia kwenye channel ya MBC action kila siku ya jumapili,jumatatu na jumanne kuanzia saa tatu kamili usiku!....Pia channel ya MBC power plus huwa inaonyesha
Kinalipiwa sh ngapi? Kifurushi chenye hiyo channel ya MBC?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…