Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Startimes wanaonesha E-TV ila sio live
etv wanaonyesha lini? Saa ngapi?

Maana nakua walikuwa wanaonyesha, Lakini hiyo etv wakaacha kuonyesha.

Labda kama wamerudisha tena, Nambie umeangalia mara ya mwisho lini?
 
hii PG Era hapana kwangu aisee , nimemis the Golden era.. enzi za wakali akina DX, Steve Austine , the rock, Undertaker , na wakali wengine .. sasa ivi WWE hamna kitu .. sasa ivi nimehamia UFC ... HUKU NDO SHUGHULI Ipo. Hii PG ya watoto
Daaa ni kweli ila shughuli ya strawman sio mchezo aisee
 
Strawman amekua fired now.IPO hewani sasa hivi mieleka..
 
Weweeeee...... Umeona hiyo vurugu yake........ Mbona wamemrudisha wenyewe....... Achana na ile jitu... Imebinua lori aseeee
Aisee acha tu amshukuru Stephanie.. Lina nguvu..nimecheka pale kwenye keki tu ha ha ha
 
hii PG Era hapana kwangu aisee , nimemis the Golden era.. enzi za wakali akina DX, Steve Austine , the rock, Undertaker , na wakali wengine .. sasa ivi WWE hamna kitu .. sasa ivi nimehamia UFC ... HUKU NDO SHUGHULI Ipo. Hii PG ya watoto
Dah kweli WWE ilikuwa zaman
Kutana na mzee wa ndevu nyeupe-Hulk Hogan,Boker T, D generation X-Shawn Michaels na HHH,Cut angle, Cutting Edge,The Hardis-Jeff na Matt,the undertaker,big show,omaga(rip),Kane,Bobby lashley(nlimkubali sana huyu jamaa),aloo kale ni kale.
Kutana na Mzee wa misifa McMahon.
 
Back
Top Bottom