Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Wala hajapigwa na the Miz bali ni vile vijamaa vya the miz vimechangia!....Wakienda one to one na the miz wala dakika kumi haziishi bila the Miz kupigwa!!.....Hata hivyo nakuambia the Miz hatakaa na huo mkanda ndani ya wiki mbili bila kunyang'anywa na Reign na pia vile vijamaa vijiandae kwa kipigo cha mbwa mwitu!!Hayawi hayawi hstimae yakawa..... Wako wapi wale waliosema Mitz hampigi Roman Reign......