Hammy Js
JF-Expert Member
- Sep 20, 2017
- 3,054
- 3,263
Jamaa ni wa india ,anapiga balaa. Google video yake moja uone moto wakeHuyu jamaa yupo wap
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa ni wa india ,anapiga balaa. Google video yake moja uone moto wakeHuyu jamaa yupo wap
Roman Fin Ballor........Duuh!Aiseee napenda mieleka balaaaa sema nampenda sana Roman Finn balor bila kumsahau Nakamuraaaa
Labda kama ni wa juzi juzi, mana mi nmeanza kufatilia muda sanaHumjui Roman duuuuh pole
Unamjua great khali demiss? Mwanzo kabla sijamjua great nilikuwa namkubali cena,lakin badae nikaona cena bado uwezo wake mdog huwa anapigwa ovyo ovyo tu tofaut na great. Kumpiga great ni ishu nyngne aseeAiseee napenda mieleka balaaaa sema nampenda sana Roman Finn balor bila kumsahau Nakamuraaaa
ila Cena ndo mtu wa kwanza kuipangua ile finishing ya Great Kaliii ya kuminya kichwaUnamjua great khali demiss? Mwanzo kabla sijamjua great nilikuwa namkubali cena,lakin badae nikaona cena bado uwezo wake mdog huwa anapigwa ovyo ovyo tu tofaut na great. Kumpiga great ni ishu nyngne asee
hata Batista na undertaker walishawah kuzipanguaila Cena ndo mtu wa kwanza kuipangua ile finishing ya Great Kaliii ya kuminya kichwa
hujanielewa...nimesema Cena ndo wa kwanza wengine wakafatiahata Batista na undertaker walishawah kuzipangua
Kuwa wa kwanza sio ishu, ni ratiba tu ya mpambano. Ishu ni uwezohujanielewa...nimesema Cena ndo wa kwanza wengine wakafatia
Roman Reigns na finn balorRoman Fin Ballor........Duuh!
Muhengaaa weweLabda kama ni wa juzi juzi, mana mi nmeanza kufatilia muda sana
Khaaa ndo kwanza nilikuwa chekechea looohUnamjua great khali demiss? Mwanzo kabla sijamjua great nilikuwa namkubali cena,lakin badae nikaona cena bado uwezo wake mdog huwa anapigwa ovyo ovyo tu tofaut na great. Kumpiga great ni ishu nyngne asee
Weeeeee! hakuna aliekuwa anachomoka kwenye ile finishing......walishakalia karibia wote...huyo Cena mwenyewe mara kibao alikuwa anakaa kwenye ile finishing.....reymasterio ndo alibebwa na amblace kabisa....ila badae Cena ndo akawaonesha wote jinsi ya kuichomoa....badae wakakafatafata hao wajinga wengine.Kuwa wa kwanza sio ishu, ni ratiba tu ya mpambano. Ishu ni uwezo
Hahahhahah...Uongozi uingilie kati[emoji2]Nashkuru kwa kunisemea mkuu, kila siku nalalamika wala hakuna wa kuniskiliza, naomba uongozi uingilie kati ili niweze kupatiwa haki yangu.
Sasha noma sana, ila kwa Mwanadada mwenzake Asuka...Shasha ni balaa kwenye mieleka
Mi nakumbuka Undertaker alivyoipangua hiyo """Minywa ya Great Khali"""ila Cena ndo mtu wa kwanza kuipangua ile finishing ya Great Kaliii ya kuminya kichwa
undertaker ali freeze mkuu.....badae na yeye alikuja kuipangua ila mara ya kwanza alifreeze....nenda youtube utaonaMi nakumbuka Undertaker alivyoipangua hiyo """Minywa ya Great Khali"""
Nahisi Taker ndo alikuwa wa kwanza kuipanchua.
Wa Kwanza UnderTaker Mzee...Weeeeee! hakuna aliekuwa anachomoka kwenye ile finishing......walishakalia karibia wote...huyo Cena mwenyewe mara kibao alikuwa anakaa kwenye ile finishing.....reymasterio ndo alibebwa na amblace kabisa....ila badae Cena ndo akawaonesha wote jinsi ya kuichomoa....badae wakakafatafata hao wajinga wengine.
Ndio....uongozi wa hili jukwaa na jamii forum kwa ujumla....waingilie kati kwa ili haki itendeke...haiwezekani eti mtu mmekubaliana mbele ya mashaidi alafu anakuja kuruka kama si yy...kisingizio eti na wewe ulibeti na umma...umma upi huo..Hahahhahah...Uongozi uingilie kati[emoji2]
SanaaaaSasha noma sana, ila kwa Mwanadada mwenzake Asuka...
Jasho linamtoka.