Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Aiseee napenda mieleka balaaaa sema nampenda sana Roman Finn balor bila kumsahau Nakamuraaaa
Unamjua great khali demiss? Mwanzo kabla sijamjua great nilikuwa namkubali cena,lakin badae nikaona cena bado uwezo wake mdog huwa anapigwa ovyo ovyo tu tofaut na great. Kumpiga great ni ishu nyngne asee
 
ila Cena ndo mtu wa kwanza kuipangua ile finishing ya Great Kaliii ya kuminya kichwa
 
Unamjua great khali demiss? Mwanzo kabla sijamjua great nilikuwa namkubali cena,lakin badae nikaona cena bado uwezo wake mdog huwa anapigwa ovyo ovyo tu tofaut na great. Kumpiga great ni ishu nyngne asee
Khaaa ndo kwanza nilikuwa chekechea loooh
 
Kuwa wa kwanza sio ishu, ni ratiba tu ya mpambano. Ishu ni uwezo
Weeeeee! hakuna aliekuwa anachomoka kwenye ile finishing......walishakalia karibia wote...huyo Cena mwenyewe mara kibao alikuwa anakaa kwenye ile finishing.....reymasterio ndo alibebwa na amblace kabisa....ila badae Cena ndo akawaonesha wote jinsi ya kuichomoa....badae wakakafatafata hao wajinga wengine.
 
Mi nakumbuka Undertaker alivyoipangua hiyo """Minywa ya Great Khali"""

Nahisi Taker ndo alikuwa wa kwanza kuipanchua.
undertaker ali freeze mkuu.....badae na yeye alikuja kuipangua ila mara ya kwanza alifreeze....nenda youtube utaona
 
Wa Kwanza UnderTaker Mzee...
 
Hahahhahah...Uongozi uingilie kati[emoji2]
Ndio....uongozi wa hili jukwaa na jamii forum kwa ujumla....waingilie kati kwa ili haki itendeke...haiwezekani eti mtu mmekubaliana mbele ya mashaidi alafu anakuja kuruka kama si yy...kisingizio eti na wewe ulibeti na umma...umma upi huo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…