Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Huwa napenda sana hawa jamaa wanyukane
Nahisi mara nyingine walikua wanabutuana kweli hadi midamu
 
Watu wenye level moja ndo huwa wanapandishiana kifua.....Lini ushaskia Maharaja akimtambia Lesnar.....Anatafuta wa level zake ndo anamzingua.
Hahaha mzee lesnar anafaa apambane na Jinder au Samoa joe
 
Hahah...mkuu umetisha. FYI samahani ni neno pana sana! Depend on how you interpret it. Jaribu kuwa na heshima kidogo kwani hatulingani kwa kila kitu. Anyway, ngoja nikuachie uzi wako mjuvi wa mieleka, ila kwa taarifa yako nimeanza kufuatilia mieleka nafikiri kabla hujazaliwa. wakati unamwona BIG SHOW Kwenye tv, mimi nimekutana naye face-to-face na aka-sign autobiography yangu. Nimekuwa nikisafiri kwenda kuangalia pambano live na kulipa kiingilia ambacho wewe huwezi kulipa. Na hata pambano la Lesnar vs the rock (2002) summer slam, I was there. Nikitoka Michigan kwenda New York just to watch Lesnar.
Sifuatilii wrestling kwa sababu WWE haina mvuto tena. wrestlers wa kiume wa sasa hawana tofauti na dada zao. My time is up kwenye kufuatilia mieleka,hope it's your time now...
 
Mimi naona ulichoandika hapa ni kufanya show up tu mkuu.

Anyway, km huna wa kumshabikia sasa kwenye wrestling, sisi wenzio tunao..

Km ni kusainiwa autobiography, tukieleza tumesainiwa na wwe super stars wangapi, ww ungekaaa kimya.

Kuhudhuria mapambano live tunahudhuria hadi leo na bado tunanogewa tu..

Ikichacha kwako, kwetu mbona bado tamu na mbichi kbs
 
Hahaha mzee lesnar anafaa apambane na Jinder au Samoa joe
Jinder na Joe hawamuwezi Lesner... Km Reign alimshindwa, siyo rahisi hayo wengine kumpiga Lesner. Labda Brown Strowman anaweza kuweka challenge kwa Lesner...

Ila i still believe, Roman Reign atajamchapa Lesner
 
Vp ratiba ya dstv kwa wrestling?
 
Mhh! Show off? Whatever nigger...whatever!
 
Tubeti mkuu, km kusipokua na interactions zozote, Roman Reign atamchapa Jinder Mahal. Endapo Roman akipigwa nitakupa laki tano... Roman akishinda, nipe elfu 20 tu
 
Hivi wakuu, Mnajua kuwa kwenye money in the bank, Shinsk Nakamura atabeba ubingwa?
 
Kwa dstv ni channel namba ngapi itaonesha? Saa ngapi?
Mkuu DSTV huwa wanaonyesha live raw ya jumatatu kuanzia saa tisa ya usiku hiyo jumatatu hadi saa moja asubuhi supersport 8 na marudio yake ni jumanne kuanzia saa tatu ya usiku hadi saa tano na nusu ya usiku supersport 9 na jumanne wanaonyesha smackdown live kuanzia hiyohiyo saa tisa ya usiku jumanne hadi saa moja ya asubuhi supersport 8 na marudio yake ni kila siku ya jumatano saa tatu kamili usiku hadi saa nne na nusu usiku supersport 9 kwa kifurushi cha tsh 19,000/= kwa mwezi!

Sent from my Armor using JamiiForums mobile app
 
Kwann Roman Haaminiki?
Hivi nyie mashabiki wa Roman Reigns mkoje......Ina maana hamuoni kwa Sasa show inayo hit ni ya Roman Reigns na Jinder Mahal.......mmeng'ang'ana na Lesnar mpaka sasa hivi........Kwa taarifa yenu Lesnar hana mpakango wa kupigana na Roman reigns tena naana si level yake.....ndo maana reigns kaamua kutafuta level zake kina maharaja na samoa joe..[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shukran mkuu maana ratiba huwa siifahamu... Nitaifuatilia vilivyo sasa..

Kwaiyo hata money in the bank watairusha live?
 
Hao Samora na Jinder, ndo walijipendekeza kwa Reign ili kujipatia umaarufu.

Huyo jinder, ndo alimvurugia Reign ili asi qualify ktk money in the bank...

Reign ana intention za ku - take what is his from Lesner.

Kumbuka, Reign is uncrowned Champ! Refa alikosea hadi radhi aliomba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…