stardust JK
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,990
- 4,241
Huwa napenda sana hawa jamaa wanyukane
Nahisi mara nyingine walikua wanabutuana kweli hadi midamu
Nahisi mara nyingine walikua wanabutuana kweli hadi midamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha mzee lesnar anafaa apambane na Jinder au Samoa joeWatu wenye level moja ndo huwa wanapandishiana kifua.....Lini ushaskia Maharaja akimtambia Lesnar.....Anatafuta wa level zake ndo anamzingua.
MBC channel no 208 jumapili, j3, J4 saa 6:00 usikuChanel gaNi wanaonesha?? Nipe ratiba kamili.natumia kingamuzi cha azam
Hahah...mkuu umetisha. FYI samahani ni neno pana sana! Depend on how you interpret it. Jaribu kuwa na heshima kidogo kwani hatulingani kwa kila kitu. Anyway, ngoja nikuachie uzi wako mjuvi wa mieleka, ila kwa taarifa yako nimeanza kufuatilia mieleka nafikiri kabla hujazaliwa. wakati unamwona BIG SHOW Kwenye tv, mimi nimekutana naye face-to-face na aka-sign autobiography yangu. Nimekuwa nikisafiri kwenda kuangalia pambano live na kulipa kiingilia ambacho wewe huwezi kulipa. Na hata pambano la Lesnar vs the rock (2002) summer slam, I was there. Nikitoka Michigan kwenda New York just to watch Lesnar.Prof unajipinga na kujicontradict mwenyewe ndiyo maana hapo juu umekiri kuwa wewe siku hizi huangalii tena mieleka na umehamia kwenye car rally kwa hiyo dhana ya kwamba wewe ni mfuatiliaji wa mieleka haipo ni better ukatuachia uzi wetu sisi wafuatiliaji,na hili linadhihirishwa kwa upotoshaji uliofanya kwenye comment yako hapo juu kama vile kusema eti the shield wamekufa kwa sababu hawakuwa ass kisser,the fact ni kwamba the shield wamekufa baada ya Ambrose kuumia!......Cha kukushauri ndugu yangu anzisha tu uzi wako wa car rally kwa kuwa mieleka hufuatilii tena!!....hapo mwisho naona umeniomba msamaha, kwa kifupi we don't need excuse here,we need fact and consistency!
Mimi naona ulichoandika hapa ni kufanya show up tu mkuu.Hahah...mkuu umetisha. FYI samahani ni neno pana sana! Depend on how you interpret it. Jaribu kuwa na heshima kidogo kwani hatulingani kwa kila kitu. Anyway, ngoja nikuachie uzi wako mjuvi wa mieleka, ila kwa taarifa yako nimeanza kufuatilia mieleka nafikiri kabla hujazaliwa. wakati unamwona BIG SHOW Kwenye tv, mimi nimekutana naye face-to-face na aka-sign autobiography yangu. Nimekuwa nikisafiri kwenda kuangalia pambano live na kulipa kiingilia ambacho wewe huwezi kulipa. Na hata pambano la Lesnar vs the rock (2002) summer slam, I was there. Nikitoka Michigan kwenda New York just to watch Lesnar.
Sifuatilii wrestling kwa sababu WWE haina mvuto tena. wrestlers wa kiume wa sasa hawana tofauti na dada zao. My time is up kwenye kufuatilia mieleka,hope it's your time now...
Jinder na Joe hawamuwezi Lesner... Km Reign alimshindwa, siyo rahisi hayo wengine kumpiga Lesner. Labda Brown Strowman anaweza kuweka challenge kwa Lesner...Hahaha mzee lesnar anafaa apambane na Jinder au Samoa joe
Vp ratiba ya dstv kwa wrestling?AzamTV ni channel 208 MBC plus power
RAW ni Jumatatu saa 6:00 usiku, marudio ni kesho yake J4 saa 10:00 jioni
Smackdown ni Jumanne 6:00 usiku, marudio ni kesho yake J5 saa 10:00 jioni
NB: sio live wanachelewa wiki moja kabla...kwa mfano Leo wataonyesha smackdown ya tar 28/05/2018
Nipe ratiba ya dstv kwa wrestlingInaonekana humu tunaoangalia RAW/SMACKDOWN live tupo wachache sana
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Ngoja nienjoy kidogoView attachment 794908
Kwann Roman Haaminiki?si kwamba hatujiamini....Tatizo nyie hamuamuniki......kama vile Roman reings haaminiki
Kwa dstv ni channel namba ngapi itaonesha? Saa ngapi?Tusisahau jamani......WWE money in the bank ni tar 17 June.
Mhh! Show off? Whatever nigger...whatever!Mimi naona ulichoandika hapa ni kufanya show up tu mkuu.
Anyway, km huna wa kumshabikia sasa kwenye wrestling, sisi wenzio tunao..
Km ni kusainiwa autobiography, tukieleza tumesainiwa na wwe super stars wangapi, ww ungekaaa kimya.
Kuhudhuria mapambano live tunahudhuria hadi leo na bado tunanogewa tu..
Ikichacha kwako, kwetu mbona bado tamu na mbichi kbs
Tubeti mkuu, km kusipokua na interactions zozote, Roman Reign atamchapa Jinder Mahal. Endapo Roman akipigwa nitakupa laki tano... Roman akishinda, nipe elfu 20 tuNyie mashabiki wa roman hamwaminiki.tuaminisheni kwanza ili tuwaamini muone kama ela hatujato..ukiumwa na nyoka ata jani likikugusa unaruka.jindre mahal maharaja atampiga roman labda kama roman angepigana na elayas ningesema roman anashinda.ila kwa jindre mahal maharaja huyo mbwa lazima akae.nipo tayari kubet lazima kuwe na nafasi ya kuwaamini nyie matapeli wa roman
Aombe challenge kwa Roman asipoachia mkandaHapigwi sababu hajapigana na The super Man Brock Lesnar
Dem anayecharaza ni Amber MoonSasha hana lolote yule ni muuza sura tu na kupenda masifa!....i don't wanna be anything like Sasha banks!
Mkuu DSTV huwa wanaonyesha live raw ya jumatatu kuanzia saa tisa ya usiku hiyo jumatatu hadi saa moja asubuhi supersport 8 na marudio yake ni jumanne kuanzia saa tatu ya usiku hadi saa tano na nusu ya usiku supersport 9 na jumanne wanaonyesha smackdown live kuanzia hiyohiyo saa tisa ya usiku jumanne hadi saa moja ya asubuhi supersport 8 na marudio yake ni kila siku ya jumatano saa tatu kamili usiku hadi saa nne na nusu usiku supersport 9 kwa kifurushi cha tsh 19,000/= kwa mwezi!Kwa dstv ni channel namba ngapi itaonesha? Saa ngapi?
Hivi nyie mashabiki wa Roman Reigns mkoje......Ina maana hamuoni kwa Sasa show inayo hit ni ya Roman Reigns na Jinder Mahal.......mmeng'ang'ana na Lesnar mpaka sasa hivi........Kwa taarifa yenu Lesnar hana mpakango wa kupigana na Roman reigns tena naana si level yake.....ndo maana reigns kaamua kutafuta level zake kina maharaja na samoa joe..[emoji23][emoji23][emoji23]Kwann Roman Haaminiki?
Shukran mkuu maana ratiba huwa siifahamu... Nitaifuatilia vilivyo sasa..Mkuu DSTV huwa wanaonyesha live raw ya jumatatu kuanzia saa tisa ya usiku hiyo jumatatu hadi saa moja asubuhi supersport 8 na marudio yake ni jumanne kuanzia saa tatu ya usiku hadi saa tano na nusu ya usiku supersport 9 na jumanne wanaonyesha smackdown live kuanzia hiyohiyo saa tisa ya usiku jumanne hadi saa moja ya asubuhi supersport 8 na marudio yake ni kila siku ya jumatano saa tatu kamili usiku hadi saa nne na nusu usiku supersport 9 kwa kifurushi cha tsh 19,000/= kwa mwezi!
Sent from my Armor using JamiiForums mobile app
Hao Samora na Jinder, ndo walijipendekeza kwa Reign ili kujipatia umaarufu.Hivi nyie mashabiki wa Roman Reigns mkoje......Ina maana hamuoni kwa Sasa show inayo hit ni ya Roman Reigns na Jinder Mahal.......mmeng'ang'ana na Lesnar mpaka sasa hivi........Kwa taarifa yenu Lesnar hana mpakango wa kupigana na Roman reigns tena naana si level yake.....ndo maana reigns kaamua kutafuta level zake kina maharaja na samoa joe..[emoji23][emoji23][emoji23]