samuel faraj
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 1,326
- 1,265
sijafatilia wwe muda mrefu ila sidhani kama seth Rollins yuko fit zaidi ya roman reigns, seth mchumba tu hata kwa Dean ambrose hajafikaJinder Mahali si wakupigana na Seth Rollings, Yeye Saizi yake ni kina Roman Reings.....Kwa Seth ategemee kichapo tu.
Mimi nina hii channel,je itaonyesha live?[emoji116]hapana mwaka huu wote pay per view zote zitakuwa live exclusive only on wwe network tu ss huku tunaweza kuona replay kesho yake
great khali zilipendwa now days sidhani kama bado anapigana....ana shepu kama pipa [emoji2] [emoji2] [emoji2]Mi namkubali great khali,jamaa ana nguvu mpaka kero
Kila mtu anajulijua hil mkuu,,, ndo kitu kilichomsaidia amekaa na mkanda kipnd chote hiki alichokaa nao, angekua anaonekanika kila wk km seth rollns ungekuta mkanda upp kwa mhusika big dog coz he deserve....brother lesnar yupo wwe part time ni tofauti na kina roman reigns jinder mahal seth rollins na wengineo
huyu alikua anafatilia zamani akina roman reigns kizazi cha juzi shem.....walikua na kundi lao linaitwa THE SHIELD ilikua balaa tupu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] vurugu nyingi.....hakuna wwe superstar ambae hajawahi onja joto la the SHIELD....Dan ambrose, seth rollens na mzee wa spear romanHumjui Roman duuuuh pole
mzungu mwehu Steve austin 'stone cold ' alikua na balaaDaah umenikumbusha mbali mkuu....zaman kulikuwa na wababe kweli...yaan mtu kama lex lugar, sting, holk hogan,triple h, shwan michle....kina boker t ndo walikuwa wanachpkia, kuna jamaa anaitwa DDP balaa sana miaka hiyo, kina golden berg, the rock, hawa kina cena, edge na randy ndo vilikuwa vidogo.....alaf kuna mbabe mmoja statenda haki nsipomtaja , mzee mzima big show.
mark Henry....kashastaafu now days ila alikua analambishwa mchanga mara nyingi tu na wababe[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Big show na yule mweusi mnene yule mbabu na kale kafupi ka mbiliko kalikokuwa kanamsurport
juzi juzi wapi mzee....au unaangalia youtube unajua za juzi[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Siku nyingi wap mkuu wakat ana clip za majuz tu hapo[emoji5] [emoji5]
brock lesnar mzee wa suplex city..[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mwana ni mbabe sana kwa sasa wwe sidhani kama kuna mtu anaweza kumpiga, kwanza halina formula za upigaji....last game kalambishwa mchanga ilikua na mhuni tripple H wrestlemania29 alikula pedigree za kutosha mpaka akasandaHapigwi sababu hajapigana na The super Man Brock Lesnar
vurugu za money in the bank lesnar haziwezi.....ile inataka watu wepesi ambao wako fasterTushawazoea....mnaahidi mkishindwa mnakimbia....shame on all Roman fans.
njia rahisi nikuzidownload unaona next day kama Monday night raw jumanne inakua tayari nilikua natumia kickass torrents kudownload now days naona wameifungia nashindwa kuzidownloa na kufatiliaAzamTV ni channel 208 MBC plus power
RAW ni Jumatatu saa 6:00 usiku, marudio ni kesho yake J4 saa 10:00 jioni
Smackdown ni Jumanne 6:00 usiku, marudio ni kesho yake J5 saa 10:00 jioni
NB: sio live wanachelewa wiki moja kabla...kwa mfano Leo wataonyesha smackdown ya tar 28/05/2018
Yes! Yes! Yes! daniel BryanBobby Rudy Glorious
SAM ZAYN
NAKAMURA
undertaker si kastaafishwa na lesnar kwenye wrestlemania [emoji2] [emoji2] [emoji2] ndio ilikua wrestlemania ya kwanza taker ku lose tangu aanze wrestingHuwa napenda sana hawa jamaa wanyukane
Nahisi mara nyingine walikua wanabutuana kweli hadi midamuView attachment 796126View attachment 796128
mkubwa zamani kulikuwa kila brand ilikuwa na pay per view zake ss hv pay per view zote wanazicombine raw na smack down na zinakuwa kila mwezi ili brand zote ziwe na nguvu kwahyo mwaka huu wote pay pay per view zitakuwa exclusive on wwe network ndo maana unaona changes watu kama wakina samoa joe jeff hardy luke and gallows big cass wame shift from raw to smackdown ili brand ziwe na roster za maanahapana mwaka huu wote pay per view zote zitakuwa live exclusive only on wwe network tu ss huku tunaweza kuona replay kesho yake
Mdau mwenziomdau enhee wrestling
bro seth rollins aliwachapa roman reigns na john cena at the same time kwenye gauntlet match kabla ya season ya elimination chamber iliyopita so now seth rollins yupo on fire ndo maana ss hiv anaitwa monday night rollinssijafatilia wwe muda mrefu ila sidhani kama seth Rollins yuko fit zaidi ya roman reigns, seth mchumba tu hata kwa Dean ambrose hajafika
Ooohhuyu alikua anafatilia zamani akina roman reigns kizazi cha juzi shem.....walikua na kundi lao linaitwa THE SHIELD ilikua balaa tupu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] vurugu nyingi.....hakuna wwe superstar ambae hajawahi onja joto la the SHIELD....Dan ambrose, seth rollens na mzee wa spear roman
kweli mkuu sijjafatilia na muda kidogobro seth rollins aliwachapa roman reigns na john cena at the same time kwenye gauntlet match kabla ya season ya elimination chamber iliyopita so now seth rollins yupo on fire ndo maana ss hiv anaitwa monday night rollins
Yes yes shemOooh