Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

ila mechi yao ni ngumu sana kwa sababu ni last man standing match!!......Last Man Standing is a match in which two wrestlers fight until one of them is knocked out or unable to fight anymore. The referee must count to ten while the wrestler is laying down and the last man standing wins the match.
Kuna disqualification wakitumia TLC?
 
mtu ambaye anaweza kumpiga bloc lesnar ni roman reigns labda kidogo braun strowman lkn huyu jamaa anatumia miguvu atumii skills hata match zao nyingi na bloc lesnar anamzidigi skills lkn yy braun ana dominatematch
Strowman hamwez Lesner.

Roman Reign anamweza sana...
 
Mkuu umeangalia mapambano ya lesnar na Roman ni mara nyingi Lesnar ana mtime Roman mara atume watu wajifanye polisi ili wamkamate Roman ili yeye aingie kirahisi.... Uliangalie ile ya S.Arabia jinsi Lesnar alivyogongwa kama mbwa koko wa Kariakoo?
Niliona. Roman akishinda sema refa akatoa ushindi kwa Lesner but refa alija apologize via Twitter
 
Tunaposema yupo pale kwa part time tunamaanisha nn?
Jamaa analipwa kutokana na anapoonekana na kupigana uwa na analipwa $635K kwa kila pambano na akitoka hapo anaenda kupigana pia UFC super - fight akipata mpinzani
 
Mkuu umeangalia mapambano ya lesnar na Roman ni mara nyingi Lesnar ana mtime Roman mara atume watu wajifanye polisi ili wamkamate Roman ili yeye aingie kirahisi.... Uliangalie ile ya S.Arabia jinsi Lesnar alivyogongwa kama mbwa koko wa Kariakoo?
Ile ya kuitwa polisi ni roman alikuwa amesimamishwa kaz kwa muda wwe chairman vince mcmahon kwahyo akutakuwa kuonekana kwenye ulingo ndo maana walimuitia polisi wakamtoe
 
Kwani wewe unampenda Lesnar peke yake??....Kwani wewe huruhusiwi kuzungumzia mchezaji mwingine tofauti na Lesnar???....Wewe hakuna wachezaji wengine ambao wanakukosha tofauti na Lesnar?!......Mimi kuzungumzia wachezaji wengine ninaowapenda imekuwa kesi??!
Mkuu huyo lesner anaomekana mara moja kwa msimu, sasa sijui kama jamaa hana mtu/wachezaji wengine anaowapenda anapata burudani gani!

Mfano tangu backlash lesner hajaonekana tena na match zinachezwa kila jumatatu na jumanne
 
Hivi nyie mashabiki wa Roman Reigns mkoje......Ina maana hamuoni kwa Sasa show inayo hit ni ya Roman Reigns na Jinder Mahal.......mmeng'ang'ana na Lesnar mpaka sasa hivi........Kwa taarifa yenu Lesnar hana mpakango wa kupigana na Roman reigns tena naana si level yake.....ndo maana reigns kaamua kutafuta level zake kina maharaja na samoa joe..[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna kitu hukielewi au kama unakielewa basi ushabiki unakuathiri. Mtu kupigana na mwingine sio lazima awe hiyo unayoita level yake,. Nikupe tu mfano, the great khali alikuwa anapambana na kina ray mysterio, sasa hapo sijui kama hiyo unayoita level unaiweka vipi. Na brawn strawman kupigana na finn balor, sijui hiyo nayo unaita level moja au ni tofauti.

Mda mwingine upunguze ushabiki na kujadili mambo kwa tija
 
Hii imekubali mkuu!
umeweza kudownload mkuu....mimi movies nimeziona ila kudownload ndio issue
20180608_175536.jpg
20180608_175521.jpg
20180608_175459.jpg
 
Back
Top Bottom