Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
nitahamia nyumbani kwako unanikaribisha tuje kuangalia wote mielekanjoo dstv mkuu kuna uhondo sana, kule ni ngoma inogile
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nitahamia nyumbani kwako unanikaribisha tuje kuangalia wote mielekanjoo dstv mkuu kuna uhondo sana, kule ni ngoma inogile
Kwani Nakamura amekuwa mchovu kiasi hicho![emoji23][emoji23][emoji23] finishing yake very predictable na rahisi kukwepa.
Ila atafanya huo ujanja tu ashinde
Nakamura kimbilio lake siku hizi ni low blows!![emoji53][emoji53][emoji53].....Shame to him!!Kwani Nakamura amekuwa mchovu kiasi hicho!
Nakamura who i know is Real, anajua sana.
Bhasi anatuaibisha sana WMashabiki wakeKimbilio lake siku hizi ni low blows!![emoji53][emoji53][emoji53].....Shame to him!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]nitahamia nyumbani kwako unanikaribisha tuje kuangalia wote mieleka
Yeah mkuu, ile ndo kimbilio lake.Kimbilio lake siku hizi ni low blows!![emoji53][emoji53][emoji53].....Shame to him!!
No one in WWE has ever pushed Brock Lesner to his limits than Roman Reign.Super human .....brown stroman.....kanifurahisha sana ....Mtu kama boby roody level zake ni kina roman reigns....huku kwa kina stroman anaforce
Unajitahidi sana kumponda Reigns, MTU ambaye kila week on Raw anaonekana na anafanya anachojiskia kufanya kama alivyomfanya Jinder Mahal......Super human .....brown stroman.....kanifurahisha sana ....Mtu kama boby roody level zake ni kina roman reigns....huku kwa kina stroman anaforce
Hivi mbona Lesnar anawapasua kichwa hivyo......nimejitahidi vya kutosha kutomzungumzia angalau basi tuwazungumzie wengine ila naona mnarudi pale pale....Kwani Lesnar kawafanya nn mashabiki wa Reigns......Yaan hata ukimtaja Nakamura wao watarudi kwa Lesnar.....Lesnar makes some people not to sleep well.....Please Lesnar you should hide yourself for a moment because once you show up you destroy some people's moods.Unajitahidi sana kumponda Reigns, MTU ambaye kila week on Raw anaonekana na anafanya anachojiskia kufanya kama alivyomfanya Jinder Mahal......
Sasa huyo Lesnar wako tangu alivyochezea spear ikamtoa nje ya steelcage tar 27-April Kwenye GRR... Ukiulizwa yuko wapi huna majibu
Yani watu hawalali kila saa wanawaza machungu ya lesnar kwa vipigo alivyokuwa anampa roman.kuna utetezi wao wa kitoto sana wanatoa eti roman anapigana kila wiki alaf lesnar kajificha alaf wanauliza kwann?swali la kitoto mno.yani roman kila wiki anamechi,anafanya zoez,anapata chalenge mpya,anaboresha styles zake za kupigana wakati mwenzie lesnar yy yupo kwake anakunywa kahawa,anacheki muvi,club na starehe siku ya mechi anampiga romans kama mtoto...monday night raw ya wiki iliyopita kulikua na mechi kati ya roman na seth vs jindre mahal maharaja na elayas.na wote tunajua seth na romons walipokea kipigo cha mbwa koko.jindre na elayas walishindaa.hiyo ndio level ya roman kina jindre na elayasHivi mbona Lesnar anawapasua kichwa hivyo......nimejitahidi vya kutosha kutomzungumzia angalau basi tuwazungumzie wengine ila naona mnarudi pale pale....Kwani Lesnar kawafanya nn mashabiki wa Reigns......Yaan hata ukimtaja Nakamura wao watarudi kwa Lesnar.....Lesnar makes some people not to sleep well.....Please Lesnar you should hide yourself for a moment because once you show up you destroy some people's moods.
Mkuu haya ni mahaba..mechi zote alizopigana lesnar zilizokua rahisi ni zote alizompiga romanNo one in WWE has ever pushed Brock Lesner to his limits than Roman Reign.
Reign is an uncrowned Champ...
Sasa kila week anapigana alaf mwenzske kampumzika anapiga starehe alaf wakikutana yule anayepigana kila week anapigwa na sio mara moja zaidi ya mara 7Unajitahidi sana kumponda Reigns, MTU ambaye kila week on Raw anaonekana na anafanya anachojiskia kufanya kama alivyomfanya Jinder Mahal......
Sasa huyo Lesnar wako tangu alivyochezea spear ikamtoa nje ya steelcage tar 27-April Kwenye GRR... Ukiulizwa yuko wapi huna majibu
Ww ndio mbishi roman reigns sio level ya brock lesnar.level yake ninkina hawa maharaja na elayas..ata braun strauman level yake sio fin hivyohivyo great kali size yake sio rey.hivyo basi brock apewe heshima yake huwez mweka sawa na bwana mdogo roman ampaye ana stail mbili za kupigana spear na supaman punch.ukizipangua hizo hana namnaKuna kitu hukielewi au kama unakielewa basi ushabiki unakuathiri. Mtu kupigana na mwingine sio lazima awe hiyo unayoita level yake,. Nikupe tu mfano, the great khali alikuwa anapambana na kina ray mysterio, sasa hapo sijui kama hiyo unayoita level unaiweka vipi. Na brawn strawman kupigana na finn balor, sijui hiyo nayo unaita level moja au ni tofauti.
Mda mwingine upunguze ushabiki na kujadili mambo kwa tija
Kwani Lesnar ana style nyingine zaidi ya Suplex city na F5???Ww ndio mbishi roman reigns sio level ya brock lesnar.level yake ninkina hawa maharaja na elayas..ata braun strauman level yake sio fin hivyohivyo great kali size yake sio rey.hivyo basi brock apewe heshima yake huwez mweka sawa na bwana mdogo roman ampaye ana stail mbili za kupigana spear na supaman punch.ukizipangua hizo hana namna
Roman fans mkishindwa hamtoi mzigo....mnaanza kutafuta sababu zisizo na kichwa wala miguuMmekazania wenyewe eti Roman size yake Jinder, Roman fans tukiweka mzigo mnajiskia baridi sasa uo si ucoward
I hope ulishuhudia kilichomkuta Modern day MaharajaaRoman fans mkishindwa hamtoi mzigo....mnaanza kutafuta sababu zisizo na kichwa wala miguu