COMRADE 07
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 337
- 150
Hamna kitu palee, wwe wanawatengenezea fanbase kubwa ili baadae waje kuuza merchandise zaoHivi ni kweli B team ni wakali kiasi hicho au ni maigizo tu??[emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee tunahitaji fact sio mipashoRoman ni mcheza mieleka ambaye hajitambui kabisa na anashindwa kusoma alama za nyakati pengine nisimlaumu labda na yeye kashauchoga ugali anaogopa kunywa sumu au kujiua ila anatafuta sababu za kuwahi fasta jehanamu.baada ya jindre mahali kumvunja vunja mbavu na viti mia saba na kipigo ambavyo vingine alikua akilia kama mtoto naona haitoshi anataka apigane na boby lashley...hv anamjua huyu mwanajeshi aliyestaafu jeshini ambaye ameshiriki opereshen kadhaa za jeshi la marekani,mbavu Nene na mapafu ya mbwa na kabla ya kuja wwe alikua impact ambapo huko hakuna kuremba ni vitasa na finishing za kufamtu ambazo wwe hazipo na sidhani kama zitakuja kuwepo.nimejaribu kumpigia Vince,raw manager wote wanasema wamemuonya ila kakataa na wakasema huko tz kuna msemo unasema mtoto akililia wembe ufanyaje..nikakaa kimya.nyie mashabiki wake kama kuna namba za familia yake fanyeni kumpigia mumuonye.lasivyo mjichange rambirambi na kuhudhuria msiba
Roman Reigns.............kwa spear....hatariiiii....Dah huyo lashley kiwango chake kimeshuka san hata huko Impact alikuwa anapigwa kila siku na Alberto Der lio isitoshe kule impact kuna mwamba kamkimbia anaitwa Brian cage yaan cn waswas kabisa hata hyo extrme rules atakaa tu kwa roman reigns
Huyo Jindre wako alikuwa spear moja tu ......chaliiiiii......😀Roman ni mcheza mieleka ambaye hajitambui kabisa na anashindwa kusoma alama za nyakati pengine nisimlaumu labda na yeye kashauchoga ugali anaogopa kunywa sumu au kujiua ila anatafuta sababu za kuwahi fasta jehanamu.baada ya jindre mahali kumvunja vunja mbavu na viti mia saba na kipigo ambavyo vingine alikua akilia kama mtoto naona haitoshi anataka apigane na boby lashley...hv anamjua huyu mwanajeshi aliyestaafu jeshini ambaye ameshiriki opereshen kadhaa za jeshi la marekani,mbavu Nene na mapafu ya mbwa na kabla ya kuja wwe alikua impact ambapo huko hakuna kuremba ni vitasa na finishing za kufamtu ambazo wwe hazipo na sidhani kama zitakuja kuwepo.nimejaribu kumpigia Vince,raw manager wote wanasema wamemuonya ila kakataa na wakasema huko tz kuna msemo unasema mtoto akililia wembe ufanyaje..nikakaa kimya.nyie mashabiki wake kama kuna namba za familia yake fanyeni kumpigia mumuonye.lasivyo mjichange rambirambi na kuhudhuria msiba
channel gn?Monday night raw leo saa3 usiku mtaona huyu dogo roman asivyojitambua
Maneno yako meeeeengi hayana maana yeyote ile,extreme rules ya jumapili itahamua ni nani mkali!!Roman ni mcheza mieleka ambaye hajitambui kabisa na anashindwa kusoma alama za nyakati pengine nisimlaumu labda na yeye kashauchoga ugali anaogopa kunywa sumu au kujiua ila anatafuta sababu za kuwahi fasta jehanamu.baada ya jindre mahali kumvunja vunja mbavu na viti mia saba na kipigo ambavyo vingine alikua akilia kama mtoto naona haitoshi anataka apigane na boby lashley...hv anamjua huyu mwanajeshi aliyestaafu jeshini ambaye ameshiriki opereshen kadhaa za jeshi la marekani,mbavu Nene na mapafu ya mbwa na kabla ya kuja wwe alikua impact ambapo huko hakuna kuremba ni vitasa na finishing za kufamtu ambazo wwe hazipo na sidhani kama zitakuja kuwepo.nimejaribu kumpigia Vince,raw manager wote wanasema wamemuonya ila kakataa na wakasema huko tz kuna msemo unasema mtoto akililia wembe ufanyaje..nikakaa kimya.nyie mashabiki wake kama kuna namba za familia yake fanyeni kumpigia mumuonye.lasivyo mjichange rambirambi na kuhudhuria msiba
Kiongozi nimeongea facts tupu ukipunguza mahaba utaona ukweliMzee tunahitaji fact sio mipasho
Kweli unafatilia impact cage anapigana sana huyu mtu.Dah huyo lashley kiwango chake kimeshuka san hata huko Impact alikuwa anapigwa kila siku na Alberto Der lio isitoshe kule impact kuna mwamba kamkimbia anaitwa Brian cage yaan cn waswas kabisa hata hyo extrme rules atakaa tu kwa roman reigns
Ana mapigo mawilj spear na superman punch ambayo ata ww ukipigwa na ukikaza unachomoa.akimaliza hayo mapigo hana kingine kipyaRoman Reigns.............kwa spear....hatariiiii....
Leo tunamuongelea muuaji boby lashley,mwamba na mwanajeshi Wa jeshi LA marekani.andaa rambirambi kiongozi za roman tutapeleka ubaloz Wa marekani kwa waliiopo tzHuyo Jindre wako alikuwa spear moja tu ......chaliiiiii......😀
Supersport 9.huwa jumanne saa9 usiku na marudio saa3 usiku kwa SAA sa tz kwa Monday night raw.kwa smackdown ni jumatano saa9 usiku na marudio saa3usiku.kwa kifurushi cha elfu19 dstv.vifurushi vingine watatusaidia wanaojuachannel gn?
Kiongozi hyo mechi sina haja ya kuangalia.mshindi anafahamika ambaye ni lashley..roman ujuaji safari hii utamponzaManeno yako meeeeengi hayana maana yeyote ile,extreme rules ya jumapili itahamua ni nani mkali!!
Kweli wewe shabiki numero uno wa Bob Lashley!...ila nakuhakikishia haweza na haitatokea akampiga Roman!Roman ni mcheza mieleka ambaye hajitambui kabisa na anashindwa kusoma alama za nyakati pengine nisimlaumu labda na yeye kashauchoga ugali anaogopa kunywa sumu au kujiua ila anatafuta sababu za kuwahi fasta jehanamu.baada ya jindre mahali kumvunja vunja mbavu na viti mia saba na kipigo ambavyo vingine alikua akilia kama mtoto naona haitoshi anataka apigane na boby lashley...hv anamjua huyu mwanajeshi aliyestaafu jeshini ambaye ameshiriki opereshen kadhaa za jeshi la marekani,mbavu Nene na mapafu ya mbwa na kabla ya kuja wwe alikua impact ambapo huko hakuna kuremba ni vitasa na finishing za kufamtu ambazo wwe hazipo na sidhani kama zitakuja kuwepo.nimejaribu kumpigia Vince,raw manager wote wanasema wamemuonya ila kakataa na wakasema huko tz kuna msemo unasema mtoto akililia wembe ufanyaje..nikakaa kimya.nyie mashabiki wake kama kuna namba za familia yake fanyeni kumpigia mumuonye.lasivyo mjichange rambirambi na kuhudhuria msiba
Haaaahaaaa ..........spear moja tu inamtosha............Leo tunamuongelea muuaji boby lashley,mwamba na mwanajeshi Wa jeshi LA marekani.andaa rambirambi kiongozi za roman tutapeleka ubaloz Wa marekani kwa waliiopo tz