Mkuu huyo sio fan wa Lashley, huyo ni The number one Roman Hater in TanzaniaKweli wewe shabiki numero uno wa Bob Lashley!...ila nakuhakikishia haweza na haitatokea akampiga Roman!
Lashley amepasuka mwili tu, ila hana nguvu wala technics za kumlaza chini Roman!
Roman size yake ni kina Mahal, Strawman, Kane, Lesner na jamii hizo!
Lashley bado sana. Yeye ahangaike na kina Kelvin Owen, Big Cass na wadudu wengine jamnii hiyo!
The big dogBoby lashley hana uwezo wa kumpiga THE DOG
Ahsante mkuu nilisahau kuweka BIGThe big dog
The Empire!The big dog
Mkuu naomba niseme ulichoandika ni mahaba roman hawez kuwa sawa na kina strawman,Kane na mbaya zaidi umemweka lesnar ambaye Mara zote kampa kipigo cha mbwa koko na pia humtendei haki lashley kumweka na hizo size.nasema tupo na ukweli utajulikana ila safari roman atajitambua na akili itakaa sawa.MTU ana mapigo mawili spear na superman punch kamaliza ndio vimfanye mwanajeshi azirai?Duu ata Mimi nachomoa sembuse mjeda anayetembea na vifaru,bunduki na mabomu?andaa rambirambi mkuuKweli wewe shabiki numero uno wa Bob Lashley!...ila nakuhakikishia haweza na haitatokea akampiga Roman!
Lashley amepasuka mwili tu, ila hana nguvu wala technics za kumlaza chini Roman!
Roman size yake ni kina Mahal, Strawman, Kane, Lesner na jamii hizo!
Lashley bado sana. Yeye ahangaike na kina Kelvin Owen, Big Cass na wadudu wengine jamnii hiyo!
Mkuu tuseme ukweli vile vi spear na superman punch ndio vimfanye mjeda azirai?ata apigwe 70 kwake ni kama Kofi tu.roman lazima alazimishwe akili ikae sawa akiachwa atakua hajielewi.na big mechi ni lesnar na bony.na sio huyo mbwa Mkubwa Wa zilipendwaMkuu huyo sio fan wa Lashley, huyo ni The number one Roman Hater in Tanzania
Hahahaha sasa haya ndio mapenzi mubashara!Mkuu naomba niseme ulichoandika ni mahaba roman hawez kuwa sawa na kina strawman,Kane na mbaya zaidi umemweka lesnar ambaye Mara zote kampa kipigo cha mbwa koko na pia humtendei haki lashley kumweka na hizo size.nasema tupo na ukweli utajulikana ila safari roman atajitambua na akili itakaa sawa.MTU ana mapigo mawili spear na superman punch kamaliza ndio vimfanye mwanajeshi azirai?Duu ata Mimi nachomoa sembuse mjeda anayetembea na vifaru,bunduki na mabomu?andaa rambirambi mkuu
Atakua ICU maana Bob alichomfanya anajutia kumchokozaHivi Sami Zayn kapotelea wap, man ta MITB hajaonekana tena RAW??
Kiongozi kweli kabisa unamfananisha raia mtoto Wa mama na mjeda tena nahisi mjaluo yuleHahahaha sasa haya ndio mapenzi mubashara!
Yani yule kifutu Lashely ananini cha kumpiga The Empire, The Big Dog?....na vile Lashley anavyopigwa anarukaruka kama mkia wa mjusi uliokatwa nasema ATAPATA TABU SANA KWA THE BIG DOG!
Roman ni levo za niliowataja na sio hao "machipukizi"
[emoji12] [emoji12] Mwache maana kipigo cha Lesnar akijamtoshaRoman ni mcheza mieleka ambaye hajitambui kabisa na anashindwa kusoma alama za nyakati pengine nisimlaumu labda na yeye kashauchoga ugali anaogopa kunywa sumu au kujiua ila anatafuta sababu za kuwahi fasta jehanamu.baada ya jindre mahali kumvunja vunja mbavu na viti mia saba na kipigo ambavyo vingine alikua akilia kama mtoto naona haitoshi anataka apigane na boby lashley...hv anamjua huyu mwanajeshi aliyestaafu jeshini ambaye ameshiriki opereshen kadhaa za jeshi la marekani,mbavu Nene na mapafu ya mbwa na kabla ya kuja wwe alikua impact ambapo huko hakuna kuremba ni vitasa na finishing za kufamtu ambazo wwe hazipo na sidhani kama zitakuja kuwepo.nimejaribu kumpigia Vince,raw manager wote wanasema wamemuonya ila kakataa na wakasema huko tz kuna msemo unasema mtoto akililia wembe ufanyaje..nikakaa kimya.nyie mashabiki wake kama kuna namba za familia yake fanyeni kumpigia mumuonye.lasivyo mjichange rambirambi na kuhudhuria msiba
Chizi yuleMonday night raw leo saa3 usiku mtaona huyu dogo roman asivyojitambua
Please naomba kwenye hiyo list yako mtoe Lesnar, .....Roman Reigns hajawahi kuwa level sawa na Lesnar...tena umtake radhi LesnarKweli wewe shabiki numero uno wa Bob Lashley!...ila nakuhakikishia haweza na haitatokea akampiga Roman!
Lashley amepasuka mwili tu, ila hana nguvu wala technics za kumlaza chini Roman!
Roman size yake ni kina Mahal, Strawman, Kane, Lesner na jamii hizo!
Lashley bado sana. Yeye ahangaike na kina Kelvin Owen, Big Cass na wadudu wengine jamnii hiyo!
Man, Bob lashley sio chipukizi ni mkali toka kitambo hata kabla hatujamjua roman...spear ya Edge, ndo ilikuwa balaa sio hii ya romanHahahaha sasa haya ndio mapenzi mubashara!
Yani yule kifutu Lashely ananini cha kumpiga The Empire, The Big Dog?....na vile Lashley anavyopigwa anarukaruka kama mkia wa mjusi uliokatwa nasema ATAPATA TABU SANA KWA THE BIG DOG!
Roman ni levo za niliowataja na sio hao "machipukizi"
Em rudia lashlay na roman nani chipukiziHahahaha sasa haya ndio mapenzi mubashara!
Yani yule kifutu Lashely ananini cha kumpiga The Empire, The Big Dog?....na vile Lashley anavyopigwa anarukaruka kama mkia wa mjusi uliokatwa nasema ATAPATA TABU SANA KWA THE BIG DOG!
Roman ni levo za niliowataja na sio hao "machipukizi"
Mkuu list anaweka kwa mahaba sio halisiaPlease naomba kwenye hiyo list yako mtoe Lesnar, .....Roman Reigns hajawahi kuwa level sawa na Lesnar...tena umtake radhi Lesnar
Kama ujumbe huo alioandika kina Vince na mashabiki Wa wwe dunia ikitokea wameona mitambo inaweza zimwa tusione wwe tena maana sio kwa dharau ya kumweka Size moja roman na lesnar.amtake radhi lesnar huku anapiga magotiPlease naomba kwenye hiyo list yako mtoe Lesnar, .....Roman Reigns hajawahi kuwa level sawa na Lesnar...tena umtake radhi Lesnar