Kiongozi waambie huyu roman nimejua kwa shida kupitia the sheald.maana alikua anabebwa sana.sio boby kitambo anavunja watu viungoMan, Bob lashley sio chipukizi ni mkali toka kitambo hata kabla hatujamjua roman...spear ya Edge, ndo ilikuwa balaa sio hii ya roman
Kwa uzoefu Wa lashley.lazima tuzike roman.huyu lashley ni muuajiEm rudia lashlay na roman nani chipukizi
Lashlay kazipiga zaman kidogo toka kina RVD ,GUERERO, 3:16
Kama ujumbe huo alioandika kina Vince na mashabiki Wa wwe dunia ikitokea wameona mitambo inaweza zimwa tusione wwe tena maana sio kwa dharau ya kumweka Size moja roman na lesnar.amtake radhi lesnar huku anapiga magoti
Wadogo zake Paul Hayman kwenye ubora waoPlease naomba kwenye hiyo list yako mtoe Lesnar, .....Roman Reigns hajawahi kuwa level sawa na Lesnar...tena umtake radhi Lesnar
Enzi za kina Umaga rip...ilikuwa sooKiongozi waambie huyu roman nimejua kwa shida kupitia the sheald.maana alikua anabebwa sana.sio boby kitambo anavunja watu viungo
Alikuwa kama bodyguard hakuwa anapigana kama hivi leo!Em rudia lashlay na roman nani chipukizi
Lashlay kazipiga zaman kidogo toka kina RVD ,GUERERO, 3:16
Weeeeeeeeeeeeeeeeee humjui mjeda,Alikuwa kama bodyguard hakuwa anapigana kama hivi leo!
Wanawatengenezea kivipi akati wanashinda kiuhalali?Hamna kitu palee, wwe wanawatengenezea fanbase kubwa ili baadae waje kuuza merchandise zao
Marudio ni lini kwa super sportManeno yako meeeeengi hayana maana yeyote ile,extreme rules ya jumapili itahamua ni nani mkali!!
Bobby Lashley pia anapiga spear... Lashley ni mwili mkubwa usio na maana.Ana mapigo mawilj spear na superman punch ambayo ata ww ukipigwa na ukikaza unachomoa.akimaliza hayo mapigo hana kingine kipya
Marudio ni siku hiyo hiyo saa tatu usiku auSupersport 9.huwa jumanne saa9 usiku na marudio saa3 usiku kwa SAA sa tz kwa Monday night raw.kwa smackdown ni jumatano saa9 usiku na marudio saa3usiku.kwa kifurushi cha elfu19 dstv.vifurushi vingine watatusaidia wanaojua
Na kina Sam Zain ndo saizi za BobbyKweli wewe shabiki numero uno wa Bob Lashley!...ila nakuhakikishia haweza na haitatokea akampiga Roman!
Lashley amepasuka mwili tu, ila hana nguvu wala technics za kumlaza chini Roman!
Roman size yake ni kina Mahal, Strawman, Kane, Lesner na jamii hizo!
Lashley bado sana. Yeye ahangaike na kina Kelvin Owen, Big Cass na wadudu wengine jamnii hiyo!
Mara ya mwisho Reign alidhulumiwa ushindi vs LesnerPlease naomba kwenye hiyo list yako mtoe Lesnar, .....Roman Reigns hajawahi kuwa level sawa na Lesnar...tena umtake radhi Lesnar
Kwan Reigns anaweza mpiga Daniel Brian......kile chuma mzee.....sio kama Reigns amekaa ki mayai mayaiBobby Lashley pia anapiga spear... Lashley ni mwili mkubwa usio na maana.
Lashley ni mwepesi sana kuchapwa... Hata Mzee wa yes yes yes Daniel Brian anampiga vizuri Lashley
Extreme rule itakuwa live siku ya jumapili kuanzia saa saba na nusu usiku hadi saa kumi na nusu usiku supersport 8 na marudio ni kesho yake jumatatu kuanzia saa kumi na moja na nusu jioni hadi saa tano ya usiku supersport 9Marudio ni lini kwa super sport
Reign asipoingiliwa au kufanyiwa figisu, sioni wa kumpiga pale WWEKwan Reigns anaweza mpiga Daniel Brian......kile chuma mzee.....sio kama Reigns amekaa ki mayai mayai
Sawa mkuu ngoja nitaivizia marudioExtreme rule itakuwa live siku ya jumapili kuanzia saa saba na nusu usiku hadi saa kumi na nusu usiku supersport 8 na marudio ni kesho yake jumatatu kuanzia saa kumi na moja na nusu jioni hadi saa tano ya usiku supersport 9