Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Ambao hawajaangalia extreme rule live nawaona jinsi wanavyokodoa macho!![emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mkuu Big Dog na Bobby vp ? Nani kashinda.... Nasubiri marudio leo saa 11:30 jion
DSTV wameadjust ratiba,marudio yataanza saa moja na nusu jioni leo jumatatu tarehe 16/07/2018 supersport 9 badala ya saa kumi na moja na nusu!
 
Roman naona ameanza kuchoka, mimi ni shabiki wake lakini naona jamaa hajitumi kama zamani
 
General manager Kurt Angle kwenye extreme rules ya leo ametangaza kuwa atamtumbua Brock Lesnar kama ataendelea kukwepa mechi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…