NaughtyGuy
JF-Expert Member
- Nov 10, 2017
- 1,747
- 1,939
Owen ndio atakuwa mshindi.Yap! Ataweza kucash IN kwa kuwa match yao itakuwa mwanzoni na game ya Lesnar na Reigns ni main Event..
So tutegemee kati ya hivi vidume LESNAR, REIGNS, STROWMAN au KO, mmojawapo kuwa the next WWE UNIVERSAL CHAMPION
Unamdharau Booby Leshley mungu anakuona!!.....Booby leshley siyo mtu wa kumdharau hata kidogo,kumbuka pale raw yupo top 3!....Leo maji yalizidi unga!!Hvi jamani yaani upigwe na bega ushindwe kuamka.??? Bora spears za goldberg alikiwa anakulenga kichwa tumboni kabisa.
KO kapata match na Monster kwenye summer slam ambayo KO akishinda kwa namna yoyote ile, basi anapewa Ile case na anakua Mr money in the bank.Mkuu kama umemsikiliza Kalven Owens leo kuna uwezekano mkubwa akamfanyia figisufigisu monster among the men siku ya summerslam ili ashindwe kucash inn kutokana na bifu lao lile la Kalven Owens kurushwa kutoja juu futi 20 na monster na kuumia lakini hata hivyo Monster among the men ni mzito sana akila spear moja tu itamtosha kabisa kwa siku hiyo kushindwa kuchukua mkanda kupitia cash inn!!
KO nae unamwita kidume? [emoji23][emoji23][emoji23]Yap! Ataweza kucash IN kwa kuwa match yao itakuwa mwanzoni na game ya Lesnar na Reigns ni main Event..
So tutegemee kati ya hivi vidume LESNAR, REIGNS, STROWMAN au KO, mmojawapo kuwa the next WWE UNIVERSAL CHAMPION
No one in WWE has ever pushed Brock Lesner to his limits than Roman ReignsStrawmen akijikaza anaweza sababu ana mi nguvu....ila c huyu mrembo Reigns
Nadhani hujawahi kuona mpambano wa Lesnar Vs Strawnmen.No one in WWE has ever pushed Brock Lesner to his limits than Roman Reigns
Kote umeenda vizuri ila umekuja kuharibu ulipoweka neno than, ushauri wangu baada ya neno limits ungeweka nukta ukaishia hapo.No one in WWE has ever pushed Brock Lesner to his limits than Roman Reigns
Alishinda .......... .....Lesnar..(The Pain)Nadhani hujawahi kuona mpambano wa Lesnar Vs Strawnmen.
Sawa alishinda, lakini uliona alivyokuwa anapigwa?!?!?! Ni vile tu Braun mcceng, hayupo tough kuhimili vipigo[emoji134] ila angekuwa mkomaaji kidogo tu angeshinda.Alishinda .......... .....Lesnar..(The Pain)
Upo sahihi mkuu,Broun strowman kuna siku alijaribu akala Suplex city mbili na F5 moja na hakunyanyuka tena ila Roman reign siku ile wanapambana na Lesnar kwenye universal championship alipangua Suplex city nyingi sana pamoja na F5 nyingi sana za Brock Lesnar!!....Anaekupinga akupinge kwa data na siyo kwa blah blah za hapa na pale mkuu!!No one in WWE has ever pushed Brock Lesner to his limits than Roman Reigns
Strowman alipigwa F5 moja tu chali... Reigns alipigwa nyingi na akazitoa. Hadi Lesner akamtoa damu ndo akashindaNadhani hujawahi kuona mpambano wa Lesnar Vs Strawnmen.
Naaaam mzee. Huyo Strowman ile spear km ya Bobby juzi asingeitoaUpo sahihi mkuu,Broun strowman kuna siku alijaribu akala Suplex city mbili na F5 moja na hakunyanyuka tena ila Roman reign siku ile wanapambana na Lesnar kwenye universal championship alipangua Suplex city nyingi sana pamoja na F5 nyingi sana za Brock Lesnar!!....Anaekupinga akupinge kwa data na siyo kwa blah blah za hapa na pale mkuu!!
Juzi ulimwengu umeshangaa ni kwa namna gani the big dog aliweza kutoa spear ambayo ilikuwa ni ya direct,kumbuka Booby Leshley alijiandaa na kujipanga kabisa wakati anadeliver ile spear!!Naaaam mzee. Huyo Strowman ile spear km ya Bobby juzi asingeitoa
Upo sahihi...ila safari hii ninaona Strowman atashinda......atasubiri wachapane kwanza, halafu ana cash in .......wakishachokaSawa alishinda, lakini uliona alivyokuwa anapigwa?!?!?! Ni vile tu Braun mcceng, hayupo tough kuhimili vipigo[emoji134] ila angekuwa mkomaaji kidogo tu angeshinda.
Tuko pamoja mkuu!!Natabiri tena on Summer Slam main Event ni The beast vs The Big Dog
......and this time Brock Lesnar will be eliminated from equation by Roman reign!No one in WWE has ever pushed Brock Lesner to his limits than Roman Reigns
Pay per view ni zile event kama backlash , extreme rules na summer slamPaperview kwenye wrestling ina maana gani
Anhaa kwaiyo Evolution Itakua ni kwa wadada tu?Pay per view ni zile event kama backlash , extreme rules na summer slam
Yah! Ni kwa madem tuuAnhaa kwaiyo Evolution Itakua ni kwa wadada tu?