Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Roman reign ni hatari sana,amepigwa spear ya hatari akasurvive lakini alivyokuja kumpiga Leshley spear ya kawaida Leshley ameshindwa kusurvive!!....Nasema ni spear ya kawauda kwa sababu Roman reign alisukumwa tu na kama za ulingo akatumia nafasi hiyo kudeliver spear iliyompa ushindi!!....Hakika Brock Lesnar hana chake tena!!
Haha. Lesner aliponea chupu chupu kwenye Royal Rumble. Kwenye summer slam, Reign anabeba what is legitimate his
 
Halafu spear ya Leshley ilikuwa ni ya nguvu sana compare na ya Roman reign ambayo reign alisukumwa tu na kamba za ulingo na akutumia nafasi hiyo kudeliver spear!!
Yeah, spear ya Bobby Lashley alijiandaa kabisa, aka sprint to the highest ila mwamba akaitoa.

Reign ametoaga zile finishing 4 za Lesner.. Hatari sana
 
Yes![emoji123][emoji123][emoji123]
rps20180724_062934_392.jpg
 
Mechi za leo zilikuwa tamu sana nitarudia tena kuziangalia jioni kwa sababu nimefurahia pia Dolph Ziggler kula ile finishing tamu ya Seth Rollins na kulewa kabisa!![emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapa mchawi ni monster in the bank. Atasubiri wachapane alafu aje a cash in
Mkuu kama umemsikiliza Kalven Owens leo kuna uwezekano mkubwa akamfanyia figisufigisu monster among the men siku ya summerslam ili ashindwe kucash inn kutokana na bifu lao lile la Kalven Owens kurushwa kutoja juu futi 20 na monster na kuumia lakini hata hivyo Monster among the men ni mzito sana akila spear moja tu itamtosha kabisa kwa siku hiyo kushindwa kuchukua mkanda kupitia cash inn!!
 
Iko hivi, K.O kaomba rematch on Summer Slam vs Braun na kama akishinda, taji la MITB briefcase linaenda kwake iwe kwa PINFALL, SUBMISSION au DISQUALIFICATION na Stephanie kaipitisha hiyo match..

NB: kuna uwezekano mkubwa kati ya Sami Zayn,Jinder Mahal au Baron Cobin kuja kuinterupt hiyo match ili KO awe mshindi.
 
Kwa hiyo KO akiwa mshindi anaweza kucash inn siku hiyohiyo?
 
Kwa hiyo KO akiwa mshindi atacash inn siku hiyohiyo?
Yap! Ataweza kucash IN kwa kuwa match yao itakuwa mwanzoni na game ya Lesnar na Reigns ni main Event..

So tutegemee kati ya hivi vidume LESNAR, REIGNS, STROWMAN au KO, mmojawapo kuwa the next WWE UNIVERSAL CHAMPION
 
Kwa ambao bado hawajaiona spear ya ushindi wa leo hii hapa![emoji116][emoji23][emoji23][emoji23]
20180724_175201.gif
Spear ya kwanza ilifeli kwa kupigwa teke lililompeleka huyu champion kwenye kamba then akatumia hizo kamba kugain momentum ya kudeliver deadly spear!!...what a champion!![emoji23]....hii video najikuta naiangalia mara mia mia bila kutosheka!![emoji23]
 
Kwa ambao bado hawajaiona spear ya ushindi wa leo hii hapa![emoji116][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 817587Spear ya kwanza ilifeli kwa kupigwa teke lililompeleka huyu champion kwenye kamba then akatumia hizo kamba kugain momentum ya kudeliver deadly spear!!...what a champion!![emoji23]....hii video najikuta naiangalia mara mia mia bila kutosheka!![emoji23]
Teh....ndo Leanar unategemea umpige kirahis hivyo.
 
Huyu unaemuita mrembo atakapowapiga kwa mpigo Lesnar pamoja na atakaecash inn nakushauri ujitoe kwenye huu uzi mkuu kwa sababu utapata taabu sana!
Si umeona Owen kapewa offer na yule mtoto wa bosi kwamba akimpiga monster basi atachukua yeye brifcase. So kwa jinsi nilivyoona huyu Owen atapewa ushindi kiutani atashinda ile brifcase na yeye ndio atacash in atakuwa bingwa.
 
KO akicash inn akipewa Superman punch moja na Roman reign wala hanyanyuki tena!
 
Kwa ambao bado hawajaiona spear ya ushindi wa leo hii hapa![emoji116][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 817587Spear ya kwanza ilifeli kwa kupigwa teke lililompeleka huyu champion kwenye kamba then akatumia hizo kamba kugain momentum ya kudeliver deadly spear!!...what a champion!![emoji23]....hii video najikuta naiangalia mara mia mia bila kutosheka!![emoji23]
Hvi jamani yaani upigwe na bega ushindwe kuamka.??? Bora spears za goldberg alikiwa anakulenga kichwa tumboni kabisa.
 
Back
Top Bottom