Kudo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 1,821
- 6,119
Ni kweli lakini haiwezi kuwa sawa Kama ikikaa the Beast na Big Dog mana hata hapa nadhani waona mnavyobishana ni tofauti na akiwekwa mfano the Miz na Lesner mostly kila mtu atajua kitachotokeabiashara ni promotion.....Hata leo wakitangaza miz na lesnar....wakiamua kupromote mbona inabamba
Nimeona watu wengi wamezungumza kama mimi huko mitandaoni ya kuwa kibiashara inafaa iwe hivyo mana Big dog kajihakikishia mashabiki na huwa inavutia wakiingia wawili ulingoni