Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Nakamura mambo ya kijinga anayomfanyia AJ style tokea apigwe nae he is coward and hopeless!
 
Hivi kwenye steel cage si watamwokota Roman reigns kafa Jaman...... Brock Lesnar hatakagi ujinga Eti
 
Ni mpumbavu,hakubali kushindwa!....mbona Asuka alikubali kushindwa bila tatizo lolote na sasa hivi ni marafiki na aliempiga(Tolu), yeye Nakamura anashindwa nini kukubali kupigwa??!
Mpuuzi Kweli.... Hivi Jinder Mahal ule mkanda wa United States imekuwaje.... Mbona naona Jeff Hardy kaingia nao juz
 
United States championship iko Smack down. Kitendo cha jinder kwenda raw maana yake ni kuwa yeyote ambaye angempiga automatically anaenda smack down.

Ndo maana Jeff hardy alivompiga jinder akatoka raw na kwenda smack down!
 
Kunatofauti gan kati ya Raw.. SmackDown.. WWE... Na nyinginezo
 
WWE ni kampuni inayofanya mambo mengi, mojawapo ndo hili la mieleka.

Upande wa mieleka WWE kwa sasa ina brands tatu (Raw, Smack down na NXT). Kila brand ina makombe/mikanda yake ambayo yanatakiwa kuwepo yenye hadhi tofauti, (Hadhi ya dunia, kawaida, wanawake na team)

Upande wa RAW mkanda wenye hadhi ya dunia ni Universal championship, hadhi ya kawaida ni Intercontinental championship, ndo unakuwepo ule wa wanawake na tag team championship. Kwa sasa cruiser weight division imeunganishwa na raw hivyo kufanya idadi ya mikanda hapa kuwa mitano ukiwemo na cruiserweight championship.

Smack down mkanda wenye hadhi ya dunia ni WWE championship, hadhi ya kawaida ni united States championship na ule wa wanawake na tag team.

NXT ambayo ni kama kituo cha kuibua/kukuza vipaji cha WWE pia ina mikanda yake.

Hata hivyo, mfumo wa uendehaji wa hizi brands za WWE hubadilika mara kwa mara tangu kuanzishwa kwake. Huu mfumo uliopo umewekwa mwaka 2016. Mda wowote unaweza kuona mabadiliko.

Pamoja na hayo zipo kampuni nyingine za mieleka duniani ambazo hushindana na WWE, mfano TNA, World Pro wrestling, n.k
 
Upo vizur mkuu ...unafaa kuwa mwalimu [emoji120][emoji120]
 
Mpuuzi Kweli.... Hivi Jinder Mahal ule mkanda wa United States imekuwaje.... Mbona naona Jeff Hardy kaingia nao juz
Jinder mahal alipigwa na Jeff Hardy na mkanda ukachukuliwa ila wana rematch ijumaa kule Saud Arabia katika ile greatest royal rumble!
 
Back
Top Bottom