Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Sina kachoka sana sasa ivi, cena alkua miak ya 2008 na 9 huko ndo nilkua fan wakee ile ilee [emoji23][emoji23]

Anarecord ya kushinda WWE championship mara nyingi in the history of WWE. Universal championship imemshinda[emoji23][emoji23]
 
Kwa anaetaka kuangalia royal rumble kupitia radbox aingie google andika redbox fungua website ya redbox then install application yako fungua application na angalia channel inayoitwa sony ten sport 1
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mpk kakimbiaaa
Halafu wamepora ushindi wa Roman reign kwa sababu yeye ndiye miguu imeanza kugusa chini!....Sheria haisemi alieanza kutoka kwenye cage ndiye mshindi bali alieanza kugusa chini kwa miguu yake ndiye mshindi kama ilivyokuwa kwa Roman!....hata makomentetor wanasema kuwa huo ushindi wa the beast ni controversial!
 
So match ya r/rumble bado mkuu
 
Screenshot_20180427-224413.png
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo the big dog kashinda?
 
Match imeisha mkuu,, lesna kakimbia
Amepora ushindii[emoji23][emoji23]
Maji yamezid unga

Ameporaje ushindi? Wakat walikiwa wanashindania Universal championship tena rematch baada ya wreslemania!
 
Huwa najiuliza sana mtu kama BROWN STRAWMAN alitakiwa ndo awe WWE universal Champ na nataman sana kuona hivo sijui wanaafata vigezo gani kutoa match za mikanda. Mana last time ilikuwa triple threat broke lesnar, Cane na the beast among men[emoji23][emoji23][emoji23] namkubali sana jamaa
 
[emoji23][emoji23] ata mm nilifkr ndie atakae chukua,,,
 
Back
Top Bottom