Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Rekebisha kauli, hakupora ushindi....bali alisshinda kihalali kulingana na sheria
Mkuu kuna jamaa katuma tweet ya refa alochezesha mech ya roman reigns na lesnar kaomba msamaha, kurt angl mwnyw anajua wwe wamefnya makosa kwny hil pambano, ss nashindwa kuelewa wewe n nan unaesema alishanda kihalalii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nakumbusha tu:Baadhi ya mechi kali leo kwenye Backlash ya 2018 ni:

1.Randy Orton vs Jeff Hardy
2.Roman reign vs Samoa Joe
3.Seth rollings vs Miz
4.Camella vs Charlotte flair
5.Nia Jax vs Alex Bliss
6.Daniel Bryan vs Big Cass
7.Aj style vs Nakamura
8.Braun Strowman & Bobby Lashley vs. Kevin Owens & Sami Zayn(Nafurahi sana akina owens na Sami Zayn kupangiwa mechi za kupokea kipigo cha mbwa koko!!)
Namhurumia saaan samoa joe[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Namhurumia saaan samoa joe[emoji23][emoji23][emoji23]
Samoa joe kipigo cha mbwa koko kinamuhusu kwa sababu anaenda kukutana na mtu ambae ameshazoea kupigana na Lesnar a.k.a the Beast hadi akaporwa ushindi wake halali![emoji23][emoji23][emoji23]
 
Natabiri Miz kurudisha mkanda wake wa Intercontinental
ha!haaa!!!haaaaa!!!....Seth rollins sasa hivi ni mkali sana hata akichangiwa na miz pamoja na finn balor anapiga wote!!...Leo Miz ataomba msamaha kwa kipigo!!.....Seth rollins ni hatari,alidefend mkanda against watu wanne!
 
Miz yuko smackdown now so.lazima ashindwe sababu intercontinel belt ni wa RAW
 
Back
Top Bottom