Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Yes,watairusha live hata wrestlemania waliirusha live pia!Shukran mkuu maana ratiba huwa siifahamu... Nitaifuatilia vilivyo sasa..
Kwaiyo hata money in the bank watairusha live?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes,watairusha live hata wrestlemania waliirusha live pia!Shukran mkuu maana ratiba huwa siifahamu... Nitaifuatilia vilivyo sasa..
Kwaiyo hata money in the bank watairusha live?
Mida ni ile ile usiku mwingi?Yes,watairusha live hata wrestlemania waliirusha live!
Ndiyo mkuu,mechi zitaanza saa nane usiku hadi saa moja asubuhi kwa saa za huku kwetu siku ya jumapili tarehe 17... tukio zima litakuwa live supersport 8Mida ni ile ile usiku mwingi?
Okay mkuu... Nitaikeshea hii kitu banaaNdiyo mkuu,mechi zitaanza saa nane usiku hadi saa moja asubuhi kwa saa za huku kwetu siku ya jumapili tarehe 17... tukio zima litakuwa live supersport 8
Nakamura atashinda this timeKwa taarifa:Mechi zitakazopigwa siku ya money in the bank ni:
Nakamura vs AJ style
Nia jax vs Ronda
Carmella vs Asuka
Seth Rollins vs Elias
Roman reign vs Jinder Mahaal
Daniel Bryan vs Big Casss
Deleters vs B-Team[emoji23][emoji23][emoji23]
Bobby Leshley vs Sami Zayn
Tatizo la Nakamura huwa anategemea ujanjaujanja ili kushinda kama vile kupiga low blows!!.....ikipigwa fair game anapigwa!!Nakamura atashinda this time
[emoji23][emoji23][emoji23] finishing yake very predictable na rahisi kukwepa.Tatizo la Nakamura huwa anategemea ujanjaujanja ili kushinda kama vile kupiga low blows!!.....ikipigwa fair game anapigwa!!
Lesna yupo mafichon mkuu, ilo unalijuaWatu wenye level moja ndo huwa wanapandishiana kifua.....Lini ushaskia Maharaja akimtambia Lesnar.....Anatafuta wa level zake ndo anamzingua.
ila mechi yao ni ngumu sana kwa sababu ni last man standing match!!......Last Man Standing is a match in which two wrestlers fight until one of them is knocked out or unable to fight anymore. The referee must count to ten while the wrestler is laying down and the last man standing wins the match.[emoji23][emoji23][emoji23] finishing yake very predictable na rahisi kukwepa.
Ila atafanya huo ujanja tu ashinde
HabebiHivi wakuu, Mnajua kuwa kwenye money in the bank, Shinsk Nakamura atabeba ubingwa?
Ivi ni nan anatafuta kk kwa mwngne, kat ya reigns na huyu mahal wako!!!Hivi nyie mashabiki wa Roman Reigns mkoje......Ina maana hamuoni kwa Sasa show inayo hit ni ya Roman Reigns na Jinder Mahal.......mmeng'ang'ana na Lesnar mpaka sasa hivi........Kwa taarifa yenu Lesnar hana mpakango wa kupigana na Roman reigns tena naana si level yake.....ndo maana reigns kaamua kutafuta level zake kina maharaja na samoa joe..[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122]Ivi ni nan anatafuta kk kwa mwngne, kat ya reigns na huyu mahal wako!!!
Ndo ujiulize kwann asiende kwa Lesnar akakimbilia kwa Roman Reigns.....Coz kaona Lesnar atamuua ndo maana kakimbilia kwa reigns.Ivi ni nan anatafuta kk kwa mwngne, kat ya reigns na huyu mahal wako!!!
Uko wrong brother wwe management especially raw commissioner stephan mcmahon anaogopa brock lesnar akikutana tena roman reigns anaweza kupoteza ule mkanda wa universal championship na wakampoteza bloc lesnar maana ana mkataba w part time which is not good for businessHivi nyie mashabiki wa Roman Reigns mkoje......Ina maana hamuoni kwa Sasa show inayo hit ni ya Roman Reigns na Jinder Mahal.......mmeng'ang'ana na Lesnar mpaka sasa hivi........Kwa taarifa yenu Lesnar hana mpakango wa kupigana na Roman reigns tena naana si level yake.....ndo maana reigns kaamua kutafuta level zake kina maharaja na samoa joe..[emoji23][emoji23][emoji23]
brother lesnar yupo wwe part time ni tofauti na kina roman reigns jinder mahal seth rollins na wengineoLesna yupo mafichon mkuu, ilo unalijua
hapana mwaka huu wote pay per view zote zitakuwa live exclusive only on wwe network tu ss huku tunaweza kuona replay kesho yakeYes,watairusha live hata wrestlemania waliirusha live pia!
[emoji32][emoji32][emoji32]!.......Are you sure mkuu?hapana mwaka huu wote pay per view zote zitakuwa live exclusive only on wwe network tu ss huku tunaweza kuona replay kesho yake
Tangu greatest royal rumble match, lesna kashaonekanika tena,!! Sijui km hua unafwatilia match au unapata habar za wwe hapa jf.....Ndo ujiulize kwann asiende kwa Lesnar akakimbilia kwa Roman Reigns.....Coz kaona Lesnar atamuua ndo maana kakimbilia kwa reigns.
mdau enhee wrestlingHiyo hiyo Jinder mahal anaboa kishenzi Roman aliwachakaza kinomaaaa yani nilienjoy japo nampenda Finn balor