Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

The McMahon wamezingua hiyo match, kama wasingempa strawman basi wangempa hata McIntyre.
Namkubali dogo Finn lakini ili kuleta burudani wangempambanisha na Dean Ambrose, hapo ningeangalia nikiwa na popcorn around
Ila Kwa Lesnar ase hamna
 
Finn lazima apewe push na Wwe kipindi hiki maana mkataba wake unaelekea mwishoni na bado hajasaini mwingine,na anaonyesha dalili za kuhamia AEW promotions.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wadau wa haya mambo kati ya STROWMAN & LESNAR nani zaidi ya mwenzake?
Mimi kwangu huwa namuelewa strowman zaidi
 
Naangalia royal rumble Rey Mysterio “wajina” versus Andrade. Mysterio hajawahi kutokea duniani
 
Back
Top Bottom