Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Hizi entrance nazipenda kwa upande wa nyimbo
Glorious,
Lucha House party,
USOS,
The new day,
Sami Zahn
Kwa upande was staili ni
Ricochet na Aleister Black
 
Hivi hao mashoga wa New day siwapendi jamani[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kwa wale wapenzi wa wrestling(Mieleka) huu hapa ndo uwanja wetu.....Njooni tupeane updates za yanayoendelea kwenye tasnia hii....

Tupia comment yoyote.....tupia picha au video ya mieleka yoyote......uliza chochote kuhusu mieleka na wanamieleka upate majibu toka kwa wataalamu...

Haya sasa karibuni tujimwaemwae.....

Mimi ninataka kujua ukweli kuhusu mieleka hii ya wamarekani. Nishasikia sana kutoka hat akwa wamarekani wenyewe kuwa kuna kufake pale jukwaani. Lakini cha kushangaza huwa ninaona watu wakivunjika au kuumia. Haya yote ni fake? Nini hasa huwa fake pale jukwaani?

Wakati mwingine unaona kabisa pia mgogoro wa kupangwa, mtu anaenda kumshambulia mwenzake nyumbani. Unajiuliza, kama ni mgogoro wa ukweli, inakuwaje unarekodiwa? Inakuwaje watu wa usalama hawaingilii kati?
 
Mkuu mieleka ni tofauti na boxing...kuna sheria za wrestling mfano ngumi ya WWE sio kama ya boxing.
Ukisema wrestling ni fake inategemea umelinganisha na kitu gani.
Kuna watu wanaumia wanavunja mikono, shingo na viungo vingine.
Mfano Undertaker alimvunja John Cena shingo. Pia Big E alikua majeruhi.
 
Wwe is not fake but it called World Wrestling Entertainment.
 
Kick off show imeanza!![emoji847][emoji847][emoji847]
_20190624_010605.JPG
_20190624_010337.JPG
_20190624_010549.JPG
_20190624_010346.JPG
 
Back
Top Bottom