Kapumpuli
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 2,040
- 2,674
Akikutana na Becky Lynch ngoma inakuwaga fire Sana.....Moja ya game za kibabe huwa ni za challote flair
Ama akutane na Rounda Rousey!!! Mechi za wadada za kibabe....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akikutana na Becky Lynch ngoma inakuwaga fire Sana.....Moja ya game za kibabe huwa ni za challote flair
Wiki iliyopita kwenye smackdown alimpiga ronda rousey akabeba mkanda.Akikutana na Becky Lynch ngoma inakuwaga fire Sana.....
Ama akutane na Rounda Rousey!!! Mechi za wadada za kibabe....
wiki iliyopita kanipigia ronda rousey...huenda wakawa na rematch kwenye Royal rumble.Moja ya game za kibabe huwa ni za challote flair
Kinyamaa.....wao wanaita sports entertainmentWrestling entertainment kali sana
Ni Hatari na Nusu
Inshu ya Bray wyatt na Uncle Howdy nasubiri nione itaishaje...sijajua Uncle howdy anatafuta nini kwa bray wyatt maana anamuandama sana.Ni Hatari na Nusu
AmeshazeekaSamoe joe ni jinga sana,kila mara anapambana na Roman Reign ili achukue mkanda wa intercontinental,kila mara anapigwa badala ya kutulia akajipange kwanza anakuwa anaomba tu mapambano!
Kevin owens anasubiri mkanda wake royal rumble.Ameshazeeka
Roman ni jabali la enzi hizi