Wadau wa Mitindo: Umevaa Kiatu gani Leo?

Sio tyuuh mtu mzima, yeye sio wa kuwa kwenye drama na njegeka hata km ingekua inamuhusu, yeye anapiga kimyaa tyuuh. Ndo uanaume huu...
Mzee wa miongozo mbona hata mimi nilishampa maua yake, jamaa hana drama kabisa. Tena akiona mikelele anapita anawapa likes masuria wake anaendelea na miongozo yake.!

Na ule ndio uanaume, au babu Grahams hata akiona wanamsema ndio kwanza anakuja kukuchekesha mjukuu wake, anajua nyie mtasema ila yy anaendelea kutafuna sambusa zake taratibu.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…