Labella
JF-Expert Member
- Jun 26, 2024
- 1,949
- 4,759
Mzee wa miongozo mbona hata mimi nilishampa maua yake, jamaa hana drama kabisa. Tena akiona mikelele anapita anawapa likes masuria wake anaendelea na miongozo yake.!Sio tyuuh mtu mzima, yeye sio wa kuwa kwenye drama na njegeka hata km ingekua inamuhusu, yeye anapiga kimyaa tyuuh. Ndo uanaume huu...
Na ule ndio uanaume, au babu Grahams hata akiona wanamsema ndio kwanza anakuja kukuchekesha mjukuu wake, anajua nyie mtasema ila yy anaendelea kutafuna sambusa zake taratibu.!