Zulu man
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 6,084
- 15,998
hahaha! Nitapunguza kidogo nivae vya "club".Mbona kiatu cha ukweni umevaa leo shemeji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaha! Nitapunguza kidogo nivae vya "club".Mbona kiatu cha ukweni umevaa leo shemeji
Ila nini 😅Kupendeza tuu ilaaaa ......... Aaaaaah
Mbona hamjapishana size ya mguu na ndugu yako?😅Ewaaa ila mimi sio bishooo 😆View attachment 3028110
Kinawatoa chichaHiki kiatu kipewe ulinzi
Ndo hapo inabidi umalizie sasa ahahahahahha unajijua wewe..Ila nini 😅
Asante boss… sio kila siku kisigino kuwa juu😍😍Nichangie boss
View attachment 3028069
Mimi kupendeza tu ila pesa anhaaa sinaNdo hapo inabidi umalizie sasa ahahahahahha unajijua wewe..
Mwenzako mi kupendeza tuu ila kufanya kazi aaaaaah...
😂😂😂😂
Ninazo rangi tatu ngoja nione rangi gani niongeze hapaKinawatoa chicha
Usisahau kunichangia tu
Ahahahaha wewe na pesa ni kama shekhe na kitimoto...Mimi kupendeza tu ila pesa anhaaa sina
Mi nataka nikuone usoni...umevaa kofia Gani?
huku wanataka kiatu,,,sema selfika imefutwa hahahahaMi nataka nikuone usoni...umevaa kofia Gani?
naazima basi nitarudisha keshoEwaaa ila mimi sio bishooo 😆View attachment 3028110
Njoo uchukue kama tunavaliana 🤣naazima basi nitarudisha kesho
39 size yanguNjoo uchukue kama tunavaliana 🤣
Mwana wa Allah sioView attachment 3028043
ijumaa leo makobazi yanahusika 😂😂
Aisee umetisha nolikiri ni mmoja wa wadudu wa makonda
Kumbe ni wewe.