Mnyiramba
JF-Expert Member
- Jun 19, 2022
- 1,141
- 3,119
Mwendo wa ki gentleman
umeamua kutuonesha tangawizi hamna kabaya mwaisa[emoji1787][emoji1787]
Tangawizi kivipi mkuu [emoji28][emoji28]?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwendo wa ki gentleman
umeamua kutuonesha tangawizi hamna kabaya mwaisa[emoji1787][emoji1787]
Aisee noma sana mkuuView attachment 3028260
Nimetungua huu mnyama pale Angie store wa kishua. Mzidi kuniita bishoo
Hahaa unanitafutia ugomvi na Lucas MwashambwaI guess macho ya @ephen yatakua yameona hadi ndani😃😹
Kwato ya kibabe sana.
Nice shoes, but yaliyomo yamo. Macho koma 🤐🙈
Mambo yenu hayo Wanyiramba ndugu yako mzee wa trab na trap familia nzima vitambi mpaka chipukiziKitambi kimeziba hadi kiatu
MbuyuuuMchungwa 🥰
Mimi nimevaa vile viatu ambavyo hata vifaranga wa kuku wakiona Kunguru wanakuja kujificha chini ya soliWanajukwaa la Mitindo.
Kiatu kikali kinabadirisha muonekano wako kabisa. Sasa kwakua kila mtu ana fleva yake ya kiatu, unaweza share ulichovaa leo wengine tukaona labda tunaweza pata idea mpya ya viatu.
Ikiwa siku ya kazi, unavaa casual or una meeting na maboss unavaeje?
View attachment 3028032View attachment 3028033View attachment 3028034
Au mwamba wa site, gereji, tanesco wakata umeme, umevalia nn leo chini?
View attachment 3028035
Watu wa raba j3 hadi j2 vipi mapigo yenu kwa leo?
View attachment 3028036View attachment 3028037
Ukiwa job, street, mishe mishe, ghetto, etc ebu share na sisi mguuni umetupia nn, kama peku au socks potezea..
View attachment 3028038
Hizi buti zina soli kubwa sana. Baadhi ya sehemu watazikataza kuingia navyoMimi nimevaa vile viatu ambavyo hata vifaranga wa kuku wakiona Kunguru wanakuja kujificha chini ya soli
View attachment 3028469View attachment 3028470
Mambo yenu hayo Wanyiramba ndugu yako mzee wa trab na trap familia nzima vitambi mpaka chipukizi